Pentagon yaogopa kupeleka ndegevita za Marekani Ukraine; yahofia biashara yake ya ndege hizo itaharibika!

Ndege ni muhimu maana inaweza ingia hadi ndani ya adui na kufanya mashambulizi haraka
 
Mpaka sasa bado sijaona saana umuhimu wa ndege vita kwa upande wa ukraine. Hadi kufikia sasa Russia ameshindwa kuteka hata 40% ya Ukraine, na sehemu alizoshikilia bado mapambano yanaendelea na kwingine Ukraine ameanzisha mashambulizi.
Kwani wewe nani hadi kuona kwako umuhimu wa ndegevita kwa Ukraine ndio iwe kigezo cha Ukraine kuhitajia ndege hizo?!...

Hizo pombe za 'Wanzuki' mnazojifundisha kunywa zinawalevya vibaya mpaka mnahisi nyie ndio majenerali wa jeshi la Ukraine na mnaweza kuamua maswala ya jeshi la Ukraine
 
Sahihi kabisa
 
Wewe unaifahamu F-35 kweli! Hiyo sio ndege ya kupelekwa Ukraine, ikafanye nini wakati hata MIG-29 za mwaka 1980 ndio zinainyanyasa Russia.

Kwa sasa F-35 haina vita vya kupigana labda wapewe zile F-15.
 
kuwa pro russia raha sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe unaifahamu F-35 kweli! Hiyo sio ndege ya kupelekwa Ukraine, ikafanye nini wakati hata MIG-29 za mwaka 1980 ndio zinainyanyasa Russia.

Kwa sasa F-35 haina vita vya kupigana labda wapewe zile F-15.
Funga kopo lako na kuropokaropoka hapa hovyo...

F-35 zilienda kushambulia Iraq kwa Islamic state ambao ni madhaifu na hawakuwa hata na mifumo ya ulinzi wa anga. Kinachozuia ndege hizo kwenda vitani Ukraine kum-face adui mwenye uwezo na nguvu za kijeshi ni kuogopa zitadunguliwa na kudondoshwa kama kumbikumbi kwa kutumia S-400/500 za Urusi na hivyo Marekani kuvuliwa nguo kisha biashara za midoli hiyo kufa rasmi Duniani.
======

Nyuzi nyingine ni za kiwaki sana.
 
Kwani zile zilizoenda kumshambulia Libya zile ndege za USA na NATO aliendesha nani?kwann vita ya Ukraine wanataka Ukrainian waendeshe wenyewe waendeshe wenyewe USA wakashambulie tuone majeneza km walivyoenda Libya mnachagua wa kuwaonea

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Wewe hayo mapipa ya Russia ulishaona wapi zimedungua hata kunguru, Russia anazifanyia tu promo hayo mapipa ili awashike macho watu lakini hayana lolote.
 
Wewe hayo mapipa ya Russia ulishaona wapi zimedungua hata kunguru, Russia anazifanyia tu promo hayo mapipa ili awashike macho watu lakini hayana lolote.
Tulia dawa ikungie....F-16 za Marekani zimenyanyaswa kijinsia na S-300 za kisovieti. Habari toka Wizara ya Ulinzi ya Uturuki (NATO)
 
Acha ujinga wewe USA alifanya nini kwenye WW2.iyo mada wenzako waliumbuka baada ya kuongea maneno kama yako. Bila URUSI tungekuwa tunaongea kijerumani dunia nzima
USA amwogope Russia ? Kamwekea vikwazo,anatoa misaada licha ya biti,eti leo akamwogope super power wa mchongo,kama hujui Russia bila US isingesimama leo maana Hitler alikua ameshawakamata haja, shukuru US kwa msaada kipind kile
 
Acha ujinga wewe USA alifanya nini kwenye WW2.iyo mada wenzako waliumbuka baada ya kuongea maneno kama yako. Bila URUSI tungekuwa tunaongea kijerumani dunia nzima
Mwambie huyo dogo mtarimbo asikariri kama kasuku, asome maelezo haya hapa chini toka Uingereza yenyewe, waingereza wenyewe wanakiri kuwa kama si Stalin (kiongozi wa USSR/Urusi) basi Hitler asingeweza kuangushwa vitani (WW2) na Uingereza wala Marekani.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…