Pentagon yaogopa kupeleka ndegevita za Marekani Ukraine; yahofia biashara yake ya ndege hizo itaharibika!

Ukweli mchungu hawawezi kuumeza.......wanasema vita ya 2 mmarekani ndo kafanya washinde wakati wanaujua ukweli.......Mmarekani kipindi hiko alikua anatengeneza pesa kupitia hio vita, hata hizo pesa walizosaidiwa warusi na wenzie hazikua za bure, ingekua rahisi hivyo anachofanya ukraine kingeshaleta majibu, wazungu wanajua bila msuli wa mrusi sahivi wangekua vibaraka wa hitler, mjapan alimdonoa kidogo tu mmarekani hapo pearl harbor jamaa akaamua kudondosha nuclear ,angekua na msuli wa vita ya muda mrefu kama warusi asingekua na akili za kwenda kudondosha nuclear
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…