Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 25,050
- 45,202
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Leo katika kanisa tunafanya kumbukumbu ya kushuka kwa roho mtakatifu ahadi ya Baba
YESU KRISTO alisema kwamba wasitowaacha yatima nitawaleteen msaaidizi na atakapokuja huyo roho atawambia kweli, aliongeza kuwa lazima mimi niondoke ili roho aje
Basi sikukuu ya pentecost ndo roho mtakatifu alishuka na kulitia nguvu kanisa pamoja na mitume
Mitume walishinda uoga na kuanza kutangaza injili kwa nguvu sana , hadi leo Beira boy naendeleza kazi ya roho mtakatifu, tuendelee kuinjilisha
BWANA awabariki sana watumishi
Kwahiyo siku ya pentecost itukumbushe mwanzo mpya wa Iman mpya ya upendo na kanisa jipya la KRISTO YESU
SAYUNI BOY