PENTECOST birthday of the church, sikukuu ya kuzaliwa kwa ukristo na kanisa

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
25,050
Reaction score
45,202
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Leo katika kanisa tunafanya kumbukumbu ya kushuka kwa roho mtakatifu ahadi ya Baba

YESU KRISTO alisema kwamba wasitowaacha yatima nitawaleteen msaaidizi na atakapokuja huyo roho atawambia kweli, aliongeza kuwa lazima mimi niondoke ili roho aje

Basi sikukuu ya pentecost ndo roho mtakatifu alishuka na kulitia nguvu kanisa pamoja na mitume

Mitume walishinda uoga na kuanza kutangaza injili kwa nguvu sana , hadi leo Beira boy naendeleza kazi ya roho mtakatifu, tuendelee kuinjilisha

BWANA awabariki sana watumishi

Kwahiyo siku ya pentecost itukumbushe mwanzo mpya wa Iman mpya ya upendo na kanisa jipya la KRISTO YESU

SAYUNI BOY
 
Ibada ya pentekoste imepamba moto, watu wanashukiwa na roho mtakatifu, wanabubujika, wananena kwa lugha mpya, imo nguvu ndani ya Roho Mtakatifu
 
Roho mtakatifu ndo mtendaji

Tunashauliwa kuomba sana msaada wake
 
Leo ndiyo siku ya kunena kwa lugha. Jumapili ya Pentekoste 2026 ni sherehe ya Kikristo inayoadhimisha kushuka kwa Roho Mtakatifu juu ya mitume siku hamsini baada ya Pasaka. Tukio hili linaashiria kuzaliwa rasmi kwa Kanisa ulimwenguni
 
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Leo katika kanisa tunafanya kumbukumbu ya kushuka kwa roho mtakatifu ahadi ya Baba

YESU KRISTO alisema kwamba wasitowaacha yatima nitawaleteen msaaidizi na atakapokuja huyo roho atawambia kweli, aliongeza kuwa lazima mimi niondoke ili roho aje

Basi sikukuu ya pentecost ndo roho mtakatifu alishuka na kulitia nguvu kanisa pamoja na mitume

Mitume walishinda uoga na kuanza kutangaza injili kwa nguvu sana , hadi leo Beira boy naendeleza kazi ya roho mtakatifu, tuendelee kuinjilisha

BWANA awabariki sana watumishi

Kwahiyo siku ya pentecost itukumbushe mwanzo mpya wa Iman mpya ya upendo na kanisa jipya la KRISTO YESU

SAYUNI BOY
Kanisa la kitume by John Mgandu
 
Leo ndiyo siku ya kunena kwa lugha. Jumapili ya Pentekoste 2026 ni sherehe ya Kikristo inayoadhimisha kushuka kwa Roho Mtakatifu juu ya mitume siku hamsini baada ya Pasaka. Tukio hili linaashiria kuzaliwa rasmi kwa Kanisa ulimwenguni
Kabisa ni mwanzo wa ukristo na kanisa

Ahadi ya Baba ambayo shetan husema ahadi hiyo siyo ROHO mtakatifu Bali ni yule mwarabu
 
Back
Top Bottom