Pentekoste iliyochangamka

Hao siyo pentecostal unaowasema aisee! Ni manabii wa uongo
 
Yesu alikuja kuhubiri kuhusu mafanikio ya kimwili?Mafanikio ya kimwili ni kwa ustawi wa duniani,mafanikio ya kiroho ni kwa ustawi wa roho.Ukifa Mungu atakuuliza ulimiliki magari au nyumba ngapi?
Tafuteni ufalme wa Mungu kwanza mengine Mungu atawapa kwa ziada!Hamtubu wala kubadili njia zenu na mioyo yenu kazi ni kukaa mstari wa mbele kusikiliza miujiza."Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"
 
Yesu alikuja kuhubiri kuhusu mafanikio ya kimwili?
Yesu Mara nyingi alisisitiza kuhusu mafanikio yakiroho. Lakini maandiko yanasemaje kuhusu mafanikio yakimwili? Ni rahisi zaidi kwa mtu wa rohoni kufanikiwa kimwili. Na bahati mbaya sana mfano mtu Kama mwamposa, mahubiri yake labda Kama mtu hamfuatilii, Yule anahubiri yote ya rohoni na mwilini.
 
Msitake kutufanya kuchukia miujiza.

Miujiza Ni muhimu katika suala zima la kupandisha Imani ya mkristo. Usiibeze eti kwa sababu inafanywa na mwamposa.
 
Imeandikwa pia, usihukumu, usije na wewe ukahukumiwa. Kwa maana kipimo utakachotumia kupimia wenzako ndicho hicho kitatumika kukupimia wewe. Wewe kazania roho yako hayo mengine mwachie mungu ndiye kuhukumu.
 
Hapa upo sahihi. Hakuna aliye mtaja Mwamposa hapa tunaongelea in general wahubiri wa siki hizi
 
Msitake kutufanya kuchukia miujiza.

Miujiza Ni muhimu katika suala zima la kupandisha Imani ya mkristo. Usiibeze eti kwa sababu inafanywa na mwamposa.
Hakuna aliyesema uchukie muujiza ninachoongelea ni kuwa karibu na Kristo kwanza na yote mtu anayohitaji atayatimiza.
 
Hapa upo sahihi. Hakuna aliye mtaja Mwamposa hapa tunaongelea in general wahubiri wa siki hizi
Sasa Kama unaongelea wahubiri wa siku hizi hususani pentekoste Ni yupi aliehubiri ushetani? Au amehubiri kuwashape hi kutenda dhambi?

Yesu alisema mtu huyanena yaujazao moyo wake. Hawezi mtu kuhubiri neno la Mungu wakati anamwabudu shetani lazima mtamkamata tu kwenye maneno, mfano mzuri IPM, kiboko ya wachawi,na zumaridi mbona wako bayana? Sasa kwa upande wangu watu Kama hao hawanipi shida.

Lakini ninyi mnawavunja moyo watumishi wa Mungu na mnawafukuza kondoo wa bwana mkifikiri mnatenda mema kumbe Ni chukizo kwake mithili ya Paulo aliekuwa anawaua akidhani anampendeza Mungu na kumbe...
 
Hakuna aliyesema uchukie muujiza ninachoongelea ni kuwa karibu na Kristo kwanza na yote mtu anayohitaji atayatimiza.
Ok Safi, kuzidishiwa huwezi kuzidishiwa kabla, utazidishiwa humohumo kwenye huduma yako. Mnachofanya ninyi Ni wivu kuona mtu kazidishiwa. Sababu za mtu kuzidishiwa Ni kwamba Mungu anaweza kufanya kitu Cha ajabu ajabu tu na ukafanikiwa. Mfano Ni yakobo kwa labani ambapo ilikuwa Ni Jambo dogo tu mifungo ikazaa wenye marakaraka Kisha akafanikiwa Hadi watoto wa labani wakaanza kulalamika kwamba yakobo amemtapeli baba yao.

Mwamposa amezidishiwa siku za nyuma ameuza udongo mbeya milioni Mia Tisa Hadi mashehe wakaanza kulalamika ooh! Ameuza udongo tu hela yote hiyo.
Jaribu na wewe kuuza udongo uone Kama utafanikiwa.
Mungu akiamua ufanikiwe anaweza tumia jambo la kawaida lkn likawa sababu ya kufanikiwa, anaweza tu kukwambia uza maziwa ukauza mpaka wateja ukawakimbia.
 
Maandiko yanatimia au wewe hutaki maandiko yatimie?. Hayo yote yalitabiriwa yanapotimia wewe unaona ubaya gani?
 
Na
Inasikitisha yesu hakuwahi kuhubriri mahubiri ya mtindo uo
 
Dhambi ni dhambi gaina logic yyt
Tumia logic je dhambi inafanyeje kazi ...utajua kuwa mwili wa binadamu una siri kubwa sana kwenye dhambi .....hapo utajua yote ninayo kuambia ni kweli
N
 
Hali ngum yenyewe ndio hii watu kuangaika kutetea dgegeb na si neno la Mungu .
Io ndio moja ya hali ngumu za roman
 
Dhambi ni dhambi gaina logic yyt

N
Kama haina logic isingeitajika Akili takatifu na hekima takatifu na busara takatifu kuishinda ..
LOGIK IPO KWENYE KILA JAMBO ULIMWENGUNI NA MBINGUNI..ni wapumbavu tu ndiyo awaishi kwa kuzingatia logic
 
TUNASUBIRI TAFSIRI YAKO MBONA KIMYA ?
 
Kuhusu ulimwengu mzima kuwa wanafanya au wana sema au wana shuhudia siyo hoja labda uwe unapingana na kweli ya mungu ....maana katika kweli ya mungu inasibitisha kuwa ulimwengu mzima unakwenda kwenye upotevu ....mambo ya mungu hayapo katika mfumo wa kidemokrasia kwamba wengi wakisema ndiyo kweli kumbuka mafarisaya waliwaambia watu kuwa ni nani kati ya mmoja wetu anaye yakubali mafundisho ya huyo Yesu ....wakitumia logic kama yako ....yesu alikataliwa na viongozi wa dini walio wengi hivyo kanuni ya democracy aifanyi kazi mbinguni wala kwenye mambo ya mungu bali kwenye mamba ya mungu inaangaliwa ...kweli, haki, na utakatifu tu.
Kuna tofauti baina ya maono ya Daniel na ufunuo japo mambo yote ya dini shabaa yake ni moja ...maono ya 💥Daniel yana funua maisha ya kimamraka ya👉 duniani hapa na mwisho wake.
💥Ufunuo wa yohana unazungumzia siri ya wokovu wa mungu katika kristo na jinsi shetani anavyo angamiza mwanadamu katika dhambi
 
Ati ukatoliki???huyu ndo mama wa makahaba,kazaa huu ukristo wa leo.hao sindio wachawi wadunia au hujui?
 
Naunga mkono hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…