Pentekoste iliyochangamka

Kwani wewe Ni dhehebu gani?

wakati ule wa yesu na mitume kulikuwa na dhehebu la mafarisayo, masadukayo na lingine ka waandishi.
mm nitakuuliza swali, yesu na mitume walikuwa dhehebu gani?
 
ili ndilo tatizo la waroman.
mungu hakuchagua mwamba uwe taasisi.
mwamba ni ufunuo wa neno lake. na juu ya uo mwamba atalijenga kanisa lake.
roman haikuwepo wakat huo
 
inasikitisha unafananisha roho na mananasi na mapapai.
mungun ni anachofanana na wanadamu ni roho.
kwa sababu mungu ni roho naa aliumba mtu kwa mfano wake.
na roho za kibinadam ni zile zile.
ubabe,wizi,umalaya,usingiziaje,wema, upole, n.k
ss inategemea umejawa na roho za upande gani.
ila roho ni zile zile apa duniani.
hakuna roho mpya
 
Hii ni vita ya ukristo dhidi ya ukristo , mkiambiwa kuwa na dini ni zaidi ya kuwehuka mnatoa milio kama Nokia .
unachoshindwa kujua mungu wakati wote anapotuma mtu ama mjumbe ni kutokana na watu kuanzisha imani imani nje na neno lake.
yesu alikuja alipingana na maakanisa ya wakati huo mpaka wakamtimua kanisani.
watu walioshika dini na torati na vitabu vya manabii ila wakajitengenezea taratibu zao za udhehebu nje na neno la mungu, ni sawa na tulipo sasa. na usidhan yeesu amebadilika hata akija leo ata kuwa yule yule atavunja meza zenu za biashara na minada makanisan n.k
 
Hao siyo pentecostal unaowasema aisee! Ni manabii wa uongo
nadhan hujajua ao woote ni pentekote.
hakukuwa na kundi lolote lililobarikiwa unnabii na maono na uwepo wa roho mtakatifu mpaka pentekoste ilipokuja na nguvu. ila bada ya ibilisi kuliingilia kanisa alilivuruga akawapa mchafuko wa babeli. akawapelekambali zaidi kufikia ilipofika.
 
1 timotheo 4
Roho asema waziwazi kwamba katika siku
za mwisho baadhi ya watu wataiacha
imani na kufuata roho zidanganyazo na
mafundisho ya mashetani
 
Kwa hiyo wewe umetumwa na na nani mkuu?
 

ama hakika.
biblia inasemamali na fedha na falme zzote za ulimwengu huuu ni za shetani.
na shetani kwa kujua ilo alimwambia yesu ukinisujudia izi mali na falme na kila kitu ni vyangu nitakupa.
hakusema uongo mpaka alipomwambia nisujudie ss nikupe. yesu angesujudu kweli angepewa.
ndio mana biblia inasema ukiupenda huu ulimwengu na mambo yake upendo wa mungu haupo ndani mwako hata chembe.
sasa jiulize umo makanisani wanapohubiriwa mafanikio.
kipofu hawezi kumuongoza kipofu mwenzie, wote watadumbukia shimoni
 
Sisi ndi chanzo. Mwanzo wa madhehebu

View attachment 3251730
kuna dhehebu na kuna kanisa.
heri yao walio kwenye kanisa.
nasikitika kukuambia mungu alikuwa wa kwanza kulichukia kanisa katoliki.
yeye ni mama wa makanisa yoote akazaa binti wakufanana nae. biblia inamtambua kama kahaba pamoja na binti zake.
kwa nini,
waliacha neno wakafata taratib u zao walizo jiwekea.

Mathayo 15:7-9
[7]Enyi wanafiki, ni vema alivyotabiri Isaya kwa habari zenu, akisema,

[8]Watu hawa huniheshimu kwa midomo;
Ila mioyo yao iko mbali nami.

[9]Nao waniabudu bure,
Wakifundisha mafundisho
Yaliyo maagizo ya wanadamu.
 
1 timotheo 4
Roho asema waziwazi kwamba katika siku
za mwisho baadhi ya watu wataiacha
imani na kufuata roho zidanganyazo na
mafundisho ya mashetani
Mafundisho ya mashetani yapi weka video tuyaone, acha ubishi
 
Ibrahimu alikuwa tajiri, yusuph, daudi, Suleiman, nk. Haitakiwi mtu wa Mungu uwe fukara Ni kutokutambua haki zako. Sasa akitokea nabii akafundisha namna ya kujua haki zako ili uwe tajiri Basi huyo ameshakuwa freemaso
 
ili ndilo tatizo la waroman.
mungu hakuchagua mwamba uwe taasisi.
mwamba ni ufunuo wa neno lake. na juu ya uo mwamba atalijenga kanisa lake.
roman haikuwepo wakat huo
Roma ndio imeutunza Ukristo kwa zaidi ya miaka 2025 hadi sasa duniani na wao ndio walioamua Biblia hii ndo ndo itumike
 
hali ya roman ni mbaaya mno. kuliko inavyowezakuelzeka
Roman ipi unayoizungumzia? Kama ni Roman Catholic haina hali mbaya kiasi cha kuifananisha na pentekoste.

Roman Catholic ni moja ya taasisi kubwa sana yenye nguvu katika kila nyanja hapa Duniani.

Sio sawa kuilinganisha Roman Catholic na pentekoste
 
Roman ipi unayoizungumzia? Kama ni Roman Catholic haina hali mbaya kiasi cha kuifananisha na pentekoste.

Roman Catholic ni moja ya taasisi kubwa sana yenye nguvu katika kila nyanja hapa Duniani.

Sio sawa kuilinganisha Roman Catholic na pentekoste
ama hakika roman ni vipofu kweli kweli.
kuwa taasisi yenye mali na miradi aimaanishi kuwa na Mungu
roman ni taasisi na si kanisa.
 
Roma ndio imeutunza Ukristo kwa zaidi ya miaka 2025 hadi sasa duniani na wao ndio walioamua Biblia hii ndo ndo itumike
romani mna shida sana
mungu amelitunza kanisa lake kufikia wakati huu.
ww unataka kusema taasisi yako ndio imelitunza kanisa
unajua wakristo wangapi wafia imani waliokufa chini ya kanisa katoliki? kwa sababu ya kupinga mifumo ya kitaasisi ya roman na upigaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…