Pentekoste iliyochangamka

Pentekoste iliyochangamka

Neno Ni lenyewe, wewe ndio sio mwenyewe, umepotoka kabisa. Kumbuka ulimwengu wa Giza una vitu unavyotumia, vifaa mbalimbali Kama chungu, ngozi za wanyama, vibuyu nk.
Vilevile ulimwengu wa Nuru una vifaa mbalimbali ambavyo vimetumika na watakatifu na vinaendelea kutumika. Mf. Mafuta, maji, chumvi nk. Hivi huwakilisha ulimwengu wa nuru. So mtu akitumia hivyo ibadani sio kwamba anakosea hasha Bali wewe ndio unakosea kwa kuwapa watu uzito wakuwaamini watumishi wa Mungu. Na watu Kama wewe yesu kasema Ni heri kufungwa jiwe nakutoswa baharini.

Watumishi wa Mungu wanajitahidi kufundisha vizuri lkn watu Kama wewe ambaye hujui hata neno Wala huamini ktk miujiza Ni tatizo. Kwani Ni muujiza gani ambao wewe umewahi ukubali kwamba umetoka kwa Mungu?

Hao akina mwamposa wanakusanya pesa nyingi lkn sio kwamba wanafikia level za roman catholic ambao wanafanya biashara wanna maseminali, Wana mahospitali, wanauza vitabu, rozali, nk. Mwamposa kuuza maji tu unaona kakumalizia hela zote wakati pesa hizo zinatumika kuendeleza kazi ya Mungu. Acheni fikra potofu.

s
Una shida kwenye mfumo wako wa kufikiri, uko utumwani wewe ni MATEKA uko kwenye njia inayokupotosha na bado unajiona uko sahihi
 


Ee Kanisa la dreamers Tiptop manzese la mwanamama mbeba maono muimbaji Christina shusho je ni la kilokole ?

Vipi kanisa la mwanamama mrembo mwenye dimpozi na sauti adimu ya kukwaruza mama Bahati bukuku ni la kipentekoste ?

Vipi kanisa la mama rwakwatare mlima wa moto Assemblies Of God mikocheni B ?
Nchi ya kiseng3 sana hii .... sijui watu wanatafuta nini makanisani hadi yanazitupa lulu zao kwa nguruwe na nguruwe wana geuka kuzikanyaga kanyaga na kuwararua kama ilivyo andikwa ....hao wamama wote wenye makanisa no ndiyo nguruwe ...kina mwamposa ..gamanywa ...kakobe ...kiboko ya wachawi....wote hawa ndiyo NGURUWE WALIO ANDIKWA KWENYE BIBLIA
 
biblia inaeleza wazi bahari ni watu wengii ambao huyo mnyama anakaa juu yao
Nafsi inakaa ndani ya mwili hivyo mwili upo juu ya nafsi...mnyama ni miili yetu wenyewe mtu mwenye akili awezi kutokujua hili.
 
ATCS 2;1 And when the day of Pentecost was fully come, they were all with one accord in one place. 2 And suddenly there came a sound from heaven as of a rushing mighty wind, and it filled all the house where they were sitting. 3 And there appeared unto them cloven tongues like as of fire, and it sat upon each of them. 4 And they were all filled with the Holy Ghost, and began to speak with other tongues, as the Spirit gave them utterance.
Matendo ya Mitume 2:1-2
[1]Hata ilipotimia siku ya Pentekoste walikuwako wote mahali pamoja.

[2]Kukaja ghafula toka mbinguni uvumi kama uvumi wa upepo wa nguvu ukienda kasi, ukaijaza nyumba yote waliyokuwa wameketi.

Siku ya pentecoste walikuwa pamoja ndipo roho mtakatifu akawashukia, so pentekoste sio kushuka kwa roho mtakatifu ilikuwa ni siku ambayo wayahudi walikusanyika pamoja, na katika siku hiyo roho mtakatifu akawashukia
 



Inchi ya kiseng3 sana hii .... sijui watu wanatafuta nini makanisani hadi yanazitupa lulu zao kwa nguruwe na nguruwe wana geuka kuzikanyaga kanyaga na kuwararua kama ilivyo andikwa ....hao wamama wote wenye makanisa no ndiyo nguruwe ...kina mwamposa ..gamanywa ...kakobe ...kiboko ya wachawi....wote hawa ndiyo NGURUWE WALIO ANDIKWA KWENYE BIBLIA
Saa hizi nimejifunza kujiombea na kujitakia mema binafsi kuliko kusubr dini ama kiongozi wa kiroho,

Ikiwa hata kujiombea siwezi au imani ya kupata sina mpaka aniombee yeye huoni pa zito hapo ?
 
Matendo ya Mitume 2:1-2
[1]Hata ilipotimia siku ya Pentekoste walikuwako wote mahali pamoja.

[2]Kukaja ghafula toka mbinguni uvumi kama uvumi wa upepo wa nguvu ukienda kasi, ukaijaza nyumba yote waliyokuwa wameketi.

Siku ya pentecoste walikuwa pamoja ndipo roho mtakatifu akawashukia, so pentekoste sio kushuka kwa roho mtakatifu ilikuwa ni siku ambayo wayahudi walikusanyika pamoja, na katika siku hiyo roho mtakatifu akawashukia
soma io kjv ilipotimiaa siku ya pentekoste. inamana ilishaanzaaaa,
kwa kale ilikuwa ni kama siku ya jubelee ya kuachiliwa watumwa. pentekoste ilikuwa hamsini kamili. na ndipo roho mtkt alishuka. pentekoste ni tukio la kushuka kwa roho mtakatifu, kabla ya hapo kulikuwa na kukusanyika kwingi. ila hazikuwa pentekoste. pentekote ilikuwa ni moja na ilitukia siku hio
 
Nafsi inakaa ndani ya mwili hivyo mwili upo juu ya nafsi...mnyama ni miili yetu wenyewe mtu mwenye akili awezi kutokujua hili.
sijakuambia nyama nimekuambia mnyama.

ufunuo 17;15
Kisha yule malaika akaniambia, ‘‘Yale maji
uliyoyaona, yule kahaba akiwa ameketi juu yake
ni jamaa za watu, makutano, mataifa na lugha.
 
injili haitegemei pesa kabisaaa ili isonge mbele. kama hukujua biblia imekuwa ikihubiriwa na maskini. yesu hakuwahi kuwa mtu wa injili ya pesa, hata biblia inasema mmepewa bure toeni bure.
Ibrahimu alikuwa tajiri. Biblia inasema ktk wanna wa Israel watatoka wafalme. Daud, Suleiman na kadhalika, lengo Ni kuonesha kwamba Mungu sio wa kimaskini na umaskini kwa Mungu haiwezekani Mungu anaweza fanya kitu kidogo tu na kikawa sababu ya utajiri kumbuka yakobo kwa Laban, yusuph kwa pharao na hata yesu yuda alikuwa mshika mfuko wa fedha. Je hizo fedha zilitoka wapi?
 
hivi kaka inamana hujui si kila ajiitae mtumishi ni wa mungu. soma hapa.
Mathayo 7:21-23
[21]Si kila mtu aniambiaye, Bwana, Bwana, atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.

[22]Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi?

[23]Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu.


yesu kamwe hajawahi kuwa na ushirika na hawa wapendao umaarufu na pesa.
hakupatana na mafarisayo wala masadukayo wala waandishi .

wengi wajiitao wakristo hata hawajui kuwatambua watumishi wa mungu.


MUNGU HAJAWAHI KUTUMA MANABII WAWILI KWA WAKATI MMOJA KUMBUKA ILO,
MUSA MUSA, ELIYA ELIYA,YOHANA YOHANA N.K
Mtumishi ambaye utasema muongo nikakuelewa Ni kiboko ya wachawi, huyu yupo laivu siwezi kupinga sababu hata maneno yake yanaonyesha wazi. Lkn wakina mwamposa na wengine unaowajua wewe lete hapa vioja vyao tuone kama inaingia akilini
 
si kwamba alimradi mtu anafanya miujiza ni mtumishi wa mungu kaka. fumbuka macho uweze kuonaa. maandiko yapo wazi
Hakuna Cha maandiko yapo wazi. Wewe kinachokusumbua Ni wivu kuona kina mwamposa wanapata pesa. Ungeongelea zumaridi ningekuelewa vizuri sababu zumaridi hamuhubiri yesu yeye anamungu wake.
 
sijakuambia nyama nimekuambia mnyama.

ufunuo 17;15
Kisha yule malaika akaniambia, ‘‘Yale maji
uliyoyaona, yule kahaba akiwa ameketi juu yake
ni jamaa za watu, makutano, mataifa na lugha.
Sasa miili ya binadamu si ndiyo mnyama na ndiyo maana ya kahaba na miili sindiyo imebeba hayo yote kabila lugha rangi ....kahaba ni mwili wa binadamu kinacho kufanya wewe usielewe ni kushindwa kujua misingi ya dini....dini ina misingi mikuu ambayo mambo yote na fumbo zote zinategemea hiyo misingi nayo ni
1)MUNGU
2)SHETANI
3)MWANADAMU
4)THAWABU
5)DHAMBI
6)UTAKATIFU
7)LAANA
8)PEPONI
9)JEHANAM
10)MBINGUNI
11) MALAIKA
12)MAJINI
Hakuna fumbo lolote lililo nje ya hivi vitu 12 hivyo hayo mafumbo yasikutishe wala siyo mambo mapya
 
Mtumishi ambaye utasema muongo nikakuelewa Ni kiboko ya wachawi, huyu yupo laivu siwezi kupinga sababu hata maneno yake yanaonyesha wazi. Lkn wakina mwamposa na wengine unaowajua wewe lete hapa vioja vyao tuone kama inaingia akilini
Wote hao ni waongo
 
bwana yesu mbona alisha waambia njia ya kupimaa.
unamana unaishi na huifaham umbali huu.
pima kwa neno tuu.
Kwamba wewe unakioimo cha kupima ukatoliki.. aisee mental case are real
 
Shida sio kanisa shida ni msingi wa kuanzisha kanisa husika.Umeanzisha kanisa kwa madhumuni ya watu wamfuate Kristo au kwa manufaa yako binafsi?Unawahubiria waumini wako ukweli ?hususan ni kuachana na dhambi (kuzini,kuiba,kutembea na waume za watu)au unawahuburia wanachotaka kusikia masikioni mwao.
Wengi wao huduma zao ni kwa manufaa yao wenyewe,wanahubiri habari za mafanikio ya kidunia wanasahau kuhusu mafanikio ya kiroho,wanapotosha waumini na kuwafundisha ubinafsi.Hawahubiri katika roho bali wanahubiri katika mwili(motivational speaker)

Mchungaji mahubiri yake yote hujawahi kusikia akiongelea kuhusu dhambi na namna ya kukua kiroho,yeye mahubiri ni miujiza ,namna ya kufanikiwa kibiashara,kuangalia fursa na mengineyo ambayo siyo kwa ustawi wa roho
 
Back
Top Bottom