Penzi la Diamond kwa Zari linawaumiza wengi

Penzi la Diamond kwa Zari linawaumiza wengi

nmejaribu kuangalia page ya wema sepetu instagram. kati ya watu aliowafollow hivi karibuni ni huyo king Lawrence na ivandon (ex wake zari) . hii inaonyesha nae ni mtumwa wa kinachoendelea. na ukijaribu ku trace back jamaa kabla haujaanza kupost utumbo kama mwez mmoja hivi na nusu alikuwa na followers chini ya 5000 sahivi zaidi ya 18000 na asilimia kubws walio mfollow ni team wema wanaompa kiburi KU UNFOLLOW HAITA WEZEKANA ...

Me ninasema moja ya kitu kinachompa mtu nguvu ni attention iwe ya upendo au ya kinafiki. kwa sababu ukijaribu kuangalia hata video ya nitampata wapi ambayo kwa sasa ina views zaidi ya million mbili na laki moja na usemi juu kuwa kamponda wema kwenye huo wimbo bado wema na team yake wamechangia kuongezeka kwa views hata pia kwa video nyinginezo za youtube ili kutafuta pa kum kandia...

Diamond aendelee kukaza apige ziara zake aje arelease song la kimataifa hilo apige diamonds are forever Season 2 na afu aongeze thamani yake anayo charge kwa show huku huyo chibu junior anasubiriwa, tuwaombee tu malimao yawasaidie wasipate magonjwa ujanani bp, kisukari, vidonda vya tumbo maana dunia ya leo kufuatilia kilasiku mwenzako kafanya nini utafute mapungufu umponde hahaha MUNGU AWAREHEMU TU...........

Naogopa nikisikia anaenda sehemu kama songea Hivi anaendaje songea???
 
Hope watamreport his Cyber bullying has gone over Board mdada wa watu kimya sasa Kaka Yake alimuacha sahv wanaumia wakiona Ana furaha Naona walitaka adode

Ngoja niangalie namna bora ya kulifikisha hili suala kwa wahusika wa Instagram. Huyu jamaa lazima tumwadabishe
 
Chibu achana na huyo mzushi, he is just a player hater. Just keep waxing that ass!
 
Watu8 please mapicha makubwa. Mzima wèye.....

Mzima mimi rafiki mpendwa...long time no see

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php
 
Namkubali sana brother Diamond,
Hajawahi hata kuwajibu hawa wanaobwekea magetini wanashindwa kung'ata.
Mjanja ni yule anayefanya yake muda wote tu, ya wengine yasimhusu...
 
Sasa kamazina muuma na yeye ni team wema.si ampe na yeye ndio itamuuma vyema.huo ni ubwege kwa mwanaume kugeuzwa kuwadi
 
Back
Top Bottom