Bi shosti unajua na kujielewa sana..watu wanaacha kuhangaikia ya kwao yanayooenda mrama mishipa ya shingo inawatoka kuzungumzia ya huyo
chezea chezea na kutupa pembeni ukikuchoka
Mkuu Kuna majukwaa mengi humu! Haya Ya Mondi Na Tanasha humu ndo mahala Pake.
Nakushauri kama unataka mambo serious Nakushauri uende jukwaa la afya au jukwaa la Siasa utayakuta. Nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shauri yako.Upuuzi!
[emoji41][emoji41][emoji41]Lile domo mbona Nasibu jr amelikosa, copy right gani hiyo.
wamefanana labda nyusi na baba ake[emoji41][emoji41][emoji41] View attachment 1373809
Pia akumbuke kujikita kwenye utangazaji.Pole Tanasha, you are talented, keep on working hard, you will get there!