Penzi la Diamond na Tanasha liko ICU

Penzi la Diamond na Tanasha liko ICU

Mkuu Kuna majukwaa mengi humu! Haya Ya Mondi Na Tanasha humu ndo mahala Pake.

Nakushauri kama unataka mambo serious Nakushauri uende jukwaa la afya au jukwaa la Siasa utayakuta. Nawasilisha.
Bi shosti unajua na kujielewa sana..watu wanaacha kuhangaikia ya kwao yanayooenda mrama mishipa ya shingo inawatoka kuzungumzia ya huyo
chezea chezea na kutupa pembeni ukikuchoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Kuna majukwaa mengi humu! Haya Ya Mondi Na Tanasha humu ndo mahala Pake.

Nakushauri kama unataka mambo serious Nakushauri uende jukwaa la afya au jukwaa la Siasa utayakuta. Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuku mgeni hakosi kamba mguuni...na wewe umewashwa nini kunijibu..si ungepiga kimya tu...au na wewe unatamani ungechumbiwa na domo...
 
🎶🎶What goes around comes around what goes up must come down🎶🎶
 
Lile domo mbona Nasibu jr amelikosa, copy right gani hiyo.
[emoji41][emoji41][emoji41]
Pic%20Merger_159.jpeg
 
Kwa iyo hapo sasa mondi anataka kukamilika east africa papa,
Tanzania - Mobeto.
Uganda - Zari.
Kenya - Tanashaa.
Rwanda kisha Burundi anafunga kizazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom