Penzi la Harmonize na Kajala Limevunjika Rasmi

ni kama ile statement ya Zari ya ua jeusi watu wakadhani kuwa Zari ndiyo kamuacha Diamond, kumbe bibie ni baada ya kuona bwana hamtaki tena na haeleweki akajiwahi yeye kwenye social media kujionesha yeye ndiyo kamuacha mwenzie

Ua jeusi lilishinda na lilimuacha.. tuondolee blah blah zako hapa.. mwache Zari mshindi.. hadi leo huyo bila yeye na wanawe hana kiki.. 😄
 
Tabia za KISHOGA kwa Mwanaume kuanzisha nyuzi JF zinazohusu maisha ya wapenzi wengine,haya kimbia kachukue nafasi ya Kajala sasa[emoji3]
 
sema tu na wewe haukufanikiwa kupata nafasi hiyo ungeifadi ungeitumia
Mimi? Mimi? Nafasi ipi? Kuwa na hamonise? Kisa? Pesa? Hata niwe nimerogwa siwezi kuwa na mahusiano na mtoto ninaemzidi umri.

Afu mimi sina tabia ya kupenda wanaume wafupi vile.
Wasanii nao ni wanaume ati ujitambe? Upuuzi mtu vibibi kubemenda watoto.
Kama ni hela mbona kuna wanaume wakubwa umri wana vipesa vyao na hawajitambi? Uwezi nielewa kwanza maliza shule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…