Penzi la Jokate na Ommy Dimpozi lafichuka

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Kupitia Gazeti la Makorokocho leo mezani tumepata story ya muda mrefu ya penzi la siri kati ya Ommy Dimpoz na Jokate aka Kidoti.

Stori hii ilivuja baada ya beef la chini kwa chini kati ya Jokate na mwimbaji mmoja wa kike ambae hawana maelewano mazuri na chanzo kikidaiwa kuwa ni mwanamuziki huyu wa kike (jina lake linaanzia na herufi V(vannesa) kukuta meseji za Mapenzi kati ya Mpenzi wake huyo na dada yetu kidoti.

Chanzo kinasema Kidoti na Ommy Dimpoz walianza mapenzi ya siri kwa siri baada ya dada huyo kuachana na Diamond. Mapenzi hayo yalianzia huko Mikocheni A ambapo Ommy Dimpoz alikua akiishi nyumba ya kushare na kila bibie Kidoti alipokuwa akienda hapo watu walimuona na kuna kipindi dada yetu Kidoti alikuwa akiminya ndani ya gari bila kushuka mahaba yakiwa tele kwenye gari hilo.

Sasa wataalamu wa mambo wanasema dada yetu huyu anaonekana sana maeneo ya Kinondoni kati ka mjengo wa kupanga wa star huyu wa ndagushima chande na mapenzi yao bado inasemekana yanaendelea chini kwa chini lakini nje nje.

Ommy Dimpoz ameingizwa kwenye list ya wanaume walio na mapenzi ya siri na dada yetu Kidoti.
 
Sijui kuhusu huyo dimpo..ila wajukuu wa mambo wanasema Jamaa ndo anafanya yakee kitamboo..nam dada kaoza kwa mwana wa magazeti pendwa,,,nawasilisha
 
Dada kumbe huvumi il a upo na diamond vipi nae au umeamua kuwahesabu?
 
Hivi huyu mdada si kuna kipindi aliadmit kua ameamua kuokoka aachane na mambo ya dunia...
 
Kidoti unafananishwa na vigoro mara bunhero kweli heshima inashuka sana.
 
Kuna watu humu wana madharau sana eti umemshusha hadhi kisa katembea na diamond
 
Kuna watu humu wana madharau sana eti umemshusha hadhi kisa katembea na diamond

DIAmond sijui anajisikiaje akisikia watu wanamdharau kwa kuwa jokate kakubal kulala nae, lazima itamsumbua kichwani kidogo, dah kwani baba ubaya ana tofauti gani na wanaume wengine? Au kwa kuwa hajasoma? Degree is just a cheo tu wala haibadilishi maumbile ya kiume kusema na yenyewe yawe ya kisomi, abdala kipara bado ni yule yule tu uwe na degree au phd
 
Hivi huyu mdada si kuna kipindi aliadmit kua ameamua kuokoka aachane na mambo ya dunia...

Ata kanavyoongea kanaonekana akajatulia maana interview zake nyingi anababaika sana kujibu maswali yani kana mapepe kweli kumbe watu wanajisevia tu
 
kwan nyie mnayemsema ni mabikra au???? au hana moyo yeye
 
Siku bintiyo akikuambia anadate bongo flava mmoja nahisi utamshoot hehehe. I will pay for.your lawyer lakini.
Siyo now days ni tangu zamani ila hatukupata fursa ya kumjuwa vizuri, haka kademu hakuweza kuivalue thamani yake sasa hivi hana tofauti na wale wa vigodoro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…