Penzi la Jokate na Ommy Dimpozi lafichuka

Penzi la Jokate na Ommy Dimpozi lafichuka

Siwezi kushangaa kidoti hata akibanjuliwa na Bambo, huyu binti nilishamdharau siku nyingi shule haijamsaidia lolote.
Hahaha nimecheka sana daaa jf kuna vituko sana sijui bambo akisoma hapa anajisikia vupi? Hahaha
Waache vijana wale raha
Hakika

kidot Ananiangusha sana siku hizi!!!

Issue yake na Diamond nilipoisikia kwa mara ya kwanza, nilibisha sana... I was like, of all people, Kidoti can never be such cheap....Nikajua ni ''Kick'' tu! Mweeh Mweeeeh Mwweeehhh!!!!

Nilichoka alipo-admit!!!
Hata Mimi nilikuwa siamini sijui nilikuwa namchukulia vipi? Lakini baada ya kuona interview yake na Salama nilijua ni msichana wa aina gani?
 
Last edited by a moderator:
She is so cheap now days!

Unajua kwanini na kubaliana na wewe kuwa she is so cheap, kwa sababu huyu alikuwa na mahusiano na diamond.sikutegemea aje kuwa na mahusiano na Ommy ambaye ni rafiki wa Diamond.

Msichana wa aina hii hashindwi kutembea na familia nzima ya Diamond au Dimpoz maana nahisi kichwa chake maji kabisa!
 
Hapa ndio wanawake wanapojishusha dhamani yao.usawa wanaoulilia kamwe utakuwa ndoto
 
DIAmond sijui anajisikiaje akisikia watu wanamdharau kwa kuwa jokate kakubal kulala nae, lazima itamsumbua kichwani kidogo, dah kwani baba ubaya ana tofauti gani na wanaume wengine? Au kwa kuwa hajasoma? Degree is just a cheo tu wala haibadilishi maumbile ya kiume kusema na yenyewe yawe ya kisomi, abdala kipara bado ni yule yule tu uwe na degree au phd

hamna sio kwa sababu ya degreee
the way anavyojiweka diamond
mi nakwambia bora hata angetoka na fid poa tu
by the way my couzin umerudi...????
 
Kweli elimu inaweza isikusaidie. Hajifunzi kwa faraja kota, kaolewa na kutulia na mambo yake.

Ukitaka kujua huyu binti ni wa aina gani na kichwa chake ni tofauti na tulivyokuwa tunamchukulia ..jaribu kutafuta interview yake na Salama wa Mkasi!

Huyu hawezi kutulia kabisa na hajui aanzie wapi? Unajua watanzania wanafikiri huyu binti ana akili kumbe sivyo

Jaribu kumfatilia utagundua ninachosema Mimi mwenyewe kabla ya kumshuhudia anaongea nilikuwa nafikiri ana uwezo wa kufikiri au kuchanganua mambo lakini nilivyo shuhudia nilisikia aibu na kubadili channel, sasa hili la kutoka na rafiki wa Diamond limeniacha hoi zaidi.....
 
DIAmond sijui anajisikiaje akisikia watu wanamdharau kwa kuwa jokate kakubal kulala nae, lazima itamsumbua kichwani kidogo, dah kwani baba ubaya ana tofauti gani na wanaume wengine? Au kwa kuwa hajasoma? Degree is just a cheo tu wala haibadilishi maumbile ya kiume kusema na yenyewe yawe ya kisomi, abdala kipara bado ni yule yule tu uwe na degree au phd

Mdogo wangu warumi,kuna watu wanafikiri elimu zimewasaidia kumbe wao ndio hazijawasaidia. Bado wanazile akili kwamba mtu mwenye degree au mfanyakazi wa ofisi za vioo ni bora sana....Kuna wanawake mwanaume ata awe na pesa vipi ila kama hafanyi kazi bank au kampuni flani kwake bado sio classic. Kuna familia binti yao akipata bwana anapiga dili zake za pesa ndefu ata million 10 per day ila kama uyo bwana ajaajiriwa hawamkubali wanaona hana uhakika wanataka mtu aliyeajiriwa coz wanasema wenyewe security cjui.

ukiondoa hasheem na mbichwa sioni katika list ya waliopiga kidoti anayegusa level za diamond kipesa na kila kitu..
 
Last edited by a moderator:
hamna sio kwa sababu ya degreee
the way anavyojiweka diamond
mi nakwambia bora hata angetoka na fid poa tu
by the way my couzin umerudi...????

Sijui kama kakuelewa unacho maanisha.
 
Ukitaka kujua huyu binti ni wa aina gani na kichwa chake ni tofauti na tulivyokuwa tunamchukulia ..jaribu kutafuta interview yake name Salama wa Mkasi!

Huyu hawezi kutulia kabisa na hajui aanzie wapi? Unajua watanzania wanafikiri huyu binti ana akili kumbe sivyo

Jaribu kumfatilia utagundua ninachosema Mimi mwenyewe ukabla ya kumshuhudia anaongea nilikuwa nafikiri ana uwezo was kufikiri au kuchanganua mambo lakini nilivyo shuhudia nilisikia aibu na kubadili channel, sasa hili la kutoka na rafiki wa Diamond limeniacha hoi zaidi.....

kweli je alikua anaongea blah blah kibaooo...!!!
binafsi nilimuona km kachanganyikiwa flani hivi maana hakua anajibu maswali
mi nilikua namrespect sana ila asa hv hana lolote ndo wale yaani kasoro tarehe
 
Sijui kama kakuelewa unacho maanisha.

hajanielewa tatizo si elimu
tatizo hana hajiheshimu km msanii mkubwa hata km anatengeneza 300 per day
hivi hapa bongo kuna wasanii wangapi au maarufuvhawana elimu and they are respectable?!!
AY,JIDE,CHIEF KIUMBE NK
Jiheshimu,uheshimiwe!!!
Siongelei elimu,wala pesa!
 
Sijui kama kakuelewa unacho maanisha.

hajanielewa tatizo si elimu
tatizo hajiheshimu km msanii mkubwa hata km anatengeneza 300 per day
hivi hapa bongo kuna wasanii wangapi au maarufuvhawana elimu and they are respectable?!!
AY,JIDE,CHIEF KIUMBE NK
Jiheshimu,uheshimiwe!!!
Siongelei elimu,wala pesa!
 
Ukitaka kujua huyu binti ni wa aina gani na kichwa chake ni tofauti na tulivyokuwa tunamchukulia ..jaribu kutafuta interview yake na Salama wa Mkasi!

Huyu hawezi kutulia kabisa na hajui aanzie wapi? Unajua watanzania wanafikiri huyu binti ana akili kumbe sivyo

Jaribu kumfatilia utagundua ninachosema Mimi mwenyewe ukabla ya kumshuhudia anaongea nilikuwa nafikiri ana uwezo was kufikiri au kuchanganua mambo lakini nilivyo shuhudia nilisikia aibu na kubadili channel, sasa hili la kutoka na rafiki wa Diamond limeniacha hoi zaidi.....

Hajui kujielezea halafu ana mapepe mno akihojiwa yaani hatulii halafu kanaongea haraka haraka, ongea yake tu mtu unajua huyu apa msambinungwa tu hamna lolote

Mwanzo alikuwa na bifu na mama ubaya aka msanii wetu kwa mambo ya kuchukuliana mabwana, sasa ivi tena ana bifu na vannesa kisa bwana, yani huyu mtoto dawa ni kumfumua marinda tu uko nyuma
 
kidot Ananiangusha sana siku hizi!!!

Issue yake na Diamond nilipoisikia kwa mara ya kwanza, nilibisha sana... I was like, of all people, Kidoti can never be such cheap....Nikajua ni ''Kick'' tu! Mweeh Mweeeeh Mwweeehhh!!!!

Nilichoka alipo-admit!!!

mi mbona nisha piga hapo kitambo kidoti yuko cheap kuliko unavyo fikiria.
 
Last edited by a moderator:
Sijui kama kakuelewa unacho maanisha.

Sijamuelewa kweli, nashangaa watu wanamdharau ndomo, wakat ni kati ya vijana hot and most wanted na wadada wakali tena classic wa mujini ili tu waonje penzi lake kwa kuwa jamaa ni staa, sasa sijui kwa nini wengine wanamdharau au ni kwa kuwa background yake sio nzuri na hajasoma?
 
Hajui kujielezea halafu ana mapepe mno akihojiwa yaani hatulii halafu kanaongea haraka haraka, ongea yake tu mtu unajua huyu apa msambinungwa tu hamna lolote

Mwanzo alikuwa na bifu na mama ubaya aka msanii wetu kwa mambo ya kuchukuliana mabwana, sasa ivi tena ana bifu na vannesa kisa bwana, yani huyu mtoto dawa ni kumfumua marinda tu uko nyuma

warumi huyu binti anachojua ni kucheka Cheka tuu huwa nakereka kumsikiliza.
 
Last edited by a moderator:
Sijamuelewa kweli, nashangaa watu wanamdharau ndomo, wakat ni kati ya vijana hot and most wanted na wadada wakali tena classic wa mujini ili tu waonje penzi lake kwa kuwa jamaa ni staa, sasa sijui kwa nini wengine wanamdharau au ni kwa kuwa background yake sio nzuri na hajasoma?

Unajua kwa jinsi Diamond alivyo amua kuishi maisha yake hasa kupenda kujionesha,attention na aina yake ya maisha ilikuwa ni vigumu kuamini kama Joketi jinsi alivyo kua anaonekana ametulia na hasiyependa magazeti ilikuwa haingii akilini kudhani ange date na diamond!
Nasi kwasababu Diamond hana elimu kama Joketi noooooo bali aina ya maisha yao tuuu wanayo ishi....

Diamond anaendana Sana na Wema hilo halina ubishi...
Mimi baada ya kupata nafasi ya kumsikia Joketi nilibadili mtazamo.. ninacho shangaa anawezaje kutoka na Ommy rafiki wa Diamond!

Wasichana wanao dream kuwa na Diamond ni wazi unajua ni wasichana wa aina gani!
 
warumi huyu binti anachojua ni kucheka Cheka tuu huwa nakereka kumsikiliza.

Yani the way ana vyo act hutafikiri ajaenda shule mi ile interview na Salama ndo nilimwona mweupe kichwani vi haraka vya ajabu hafu atakuwa na tatizo huyu ndo mana anatoka na wanaume tofauti hafu wanamwacha hapo yuko na dimpozi kutafta kiki tu ndo hivo huwa hakubaliki
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom