Penzi la Jokate na Ommy Dimpozi lafichuka

Penzi la Jokate na Ommy Dimpozi lafichuka

Kwan tatzo nn? Na yeye s mdada ana genye kama wengne!!!!achen kuponda buanaa
 
Yani the way ana vyo act hutafikiri ajaenda shule mi ile interview na Salama ndo nilimwona mweupe kichwani vi haraka vya ajabu hafu atakuwa na tatizo huyu ndo mana anatoka na wanaume tofauti hafu wanamwacha hapo yuko na dimpozi kutafta kiki tu ndo hivo huwa hakubaliki

Huyu binti ni mweupe sana kichwani Wema ana akili sana.
 
Ukifatili stori za ndani za Jokate utamuona Wema bado ni bikra ... mtoto anajibebesha mizigo huyu hataree sema hana ubia tu na yule mzee wa bamaga.

Ndo mlokole huyo , sasa wale wapagani sijui watakuwaje kama mlokole anakuwa ivi, halafu jinsi alivyo malaya anapenda kweli kutoka na wanaume waliopinda/wahuni maana nasikia huyo ex wake hasheem naye anawavua chupi balaa naona wakawa wamekutana wote ndo wale wale.

Na sasa ivi anakwambia amerudi rasmi bongo fleva uku ndo atapanuliwa hadi na akina moze iyobo, wambea yetu macho na masikio tu
 
Kidoti....mbona chuo alikuwa poa tu....kapatwa na nini jamani....?
 
Sijamuelewa kweli, nashangaa watu wanamdharau ndomo, wakat ni kati ya vijana hot and most wanted na wadada wakali tena classic wa mujini ili tu waonje penzi lake kwa kuwa jamaa ni staa, sasa sijui kwa nini wengine wanamdharau au ni kwa kuwa background yake sio nzuri na hajasoma?

hamna sio background wala nini tatizo hajiheshimu
jokate watu walikua wanampa hadhi sana
 
hamna sio background wala nini tatizo hajiheshimu
jokate watu walikua wanampa hadhi sana

Si bora angetulia tu na january makamba ona anavyogangaika, halafu huyu jokate hapendagi wanaume wale maisha bora i think u get those kind of people jinsi walivyo , most of them wanakuwa ma goi goi, ye jokate anapenda mabeberu sijui wanamfanyaga nini kwenye mambo yetu

Wanaume wa hadhi yake hawataki kabisa hyu bidada,yani inaonyesha jinsi alivyokubuhu kwa mtarimbo
 
Ukifatili stori za ndani za Jokate utamuona Wema bado ni bikra ... mtoto anajibebesha mizigo huyu hataree sema hana ubia tu na yule mzee wa bamaga.

Kuna wa2 mama huruma w kisirisiri sasa huyo ommy nae c walewale low betri,mana dem wke hajulikani na kuna cku warumi alisema hilo
 
Si bora angetulia tu na january makamba ona anavyogangaika, halafu huyu jokate hapendagi wanaume wale maisha bora i think u get those kind of people jinsi walivyo , most of them wanakuwa ma goi goi, ye jokate anapenda mabeberu sijui wanamfanyaga nini kwenye mambo yetu

Wanaume wa hadhi yake hawataki kabisa hyu bidada,yani inaonyesha jinsi alivyokubuhu kwa mtarimbo

Dah hadi January makamba tayari kazidi aisee si bora Wema hafu sio kwamba hawapendi wenye status nzuri hajawapata ndo mana anatafta yoyote tu naye ana damu ambayo haikubaliki ka ya kunguni sijui
 
Dah hadi January makamba tayari kazidi aisee si bora Wema hafu sio kwamba hawapendi wenye status nzuri hajawapata ndo mana anatafta yoyote tu naye ana damu ambayo haikubaliki ka ya kunguni sijui

Lundenga mwaka 2006 ali produce mamiss makahaba na malaya, yani wote micharuko hakuna hata mwenye nafuu
 
Mdogo wangu warumi,kuna watu wanafikiri elimu zimewasaidia kumbe wao ndio hazijawasaidia. Bado wanazile akili kwamba mtu mwenye degree au mfanyakazi wa ofisi za vioo ni bora sana....Kuna wanawake mwanaume ata awe na pesa vipi ila kama hafanyi kazi bank au kampuni flani kwake bado sio classic. Kuna familia binti yao akipata bwana anapiga dili zake za pesa ndefu ata million 10 per day ila kama uyo bwana ajaajiriwa hawamkubali wanaona hana uhakika wanataka mtu aliyeajiriwa coz wanasema wenyewe security cjui.

ukiondoa hasheem na mbichwa sioni katika list ya waliopiga kidoti anayegusa level za diamond kipesa na kila kitu..

Shule nzuri we kima huwezi fananisha MTU duni Kama Diamond na aliyekwenda shule....

HELA NYINGI HATA KICHAA ANAWEZA KUBAHATIKA AKAOKOTA.....HATA HAYAWANI ANAWEZA KUMILIKI ILA SIO SHULE.....

SI KILA MTU ANAUWEZO WA KWENDA SHULE NA HAPO NDO TOFAUTI ILIPO...

Binafsi nilimdharau Sana kutembea na MTU duni Kama diamond ambae upeo wake Wa fikra hauvuki mizani ya ngono na Sifa....

HATA WATU WANAOSIKILIZA NYIMBO NA KUFWATILIA MAMBO YAKE HUWA NAWADHARAU SANA.....
 
Last edited by a moderator:
hamna sio background wala nini tatizo hajiheshimu
jokate watu walikua wanampa hadhi sana

Yani huyu Jokate ni bora kama elimu ya juu alisoma kwa bodi ya mkopo akatwe mshahara alipe mwenyewe deni lake lakini kama wazazi walimsomesha kwa mfuko wao hii ni hasara tupu kwa Familia yake. Hajitambui kabisa huyu binti na mwishowe na yeye atakuwa CEO wa blog za vigodoro tu.
 
hajanielewa tatizo si elimu
tatizo hana hajiheshimu km msanii mkubwa hata km anatengeneza 300 per day
hivi hapa bongo kuna wasanii wangapi au maarufuvhawana elimu and they are respectable?!!
AY,JIDE,CHIEF KIUMBE NK
Jiheshimu,uheshimiwe!!!
Siongelei elimu,wala pesa!

Fid q,Joh makin na mdogo wake, nk
 
Back
Top Bottom