Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
tangu nijiunge jamii forums hii ni komenti mbovu kupita kiasi
Diamond atawagongengea Dada zenu mpaka mkome.wewe unadhani unaweza kumtongoza wema kwa kumuonyesha certificate zako.
Diamond atawagongengea Dada zenu mpaka mkome.wewe unadhani unaweza kumtongoza wema kwa kumuonyesha certificate zako.
Taja hata mmoja bhana acha kupotosha
Iq ndo tatizo la wengi na wamezoea uswahili.mtu akiambiwa ukweli eti anaonewa wivu
Iq ndo tatizo la wengi na wamezoea uswahili.mtu akiambiwa ukweli eti anaonewa wivu
Mfano mdogo tu translation gain or loss during the year tunarecord vip kwenye income statement na kwanini tunaiita translation gain ni party ya comprehensive income na sio party ya profit or loss account na kwanini isiwe capital reserve iwe revenue reserve.na tunaiwasilishaje katika statement of owner equity.wanafunzi wanaopata CPA wengi hata swali rahisi kama hawawezi
Ha ha ha!mtvbase umenikoosha.....
watu wanajiboast kwa usimi wamejaa dharau,unafiki,matusi na lugha za kejeli sasa najiuliza,kati yao na dimondo nan ana uduni wa fikra!!
Wanamponda na kumtusi afu bado wanafatilia maisha yake na demu wake!Yani wanajua hadi mistari ya nyimbo zake!!Nimekerekwaaa eti maisha ya ushenzini!!Adharaulike msomi yeyote alojaa kejeli,chuki na wivu...huyo diamond hata hawafaham wala hawajui chuki zetu tuzielekeze kwenye kupambana na magonjwa,umasikini na ufukara wa fikra..!usomi wetu utusaidie sisi na jamii zetu katika jumuiya zilizotukuza..!Hata mkinitusi siwajui wajivuni nyie wala sitobishana ja nyie nimebanwa na banda langu la mbogamboga....keep it up Diamond watu roho zinawatoka juu yako kisa wivu na vijiba vya roho binafsi unaniburudisha!
tangu nijiunge jamii forums hii ni komenti mbovu kupita kiasi
Mfano mdogo tu translation gain or loss during the year tunarecord vip kwenye income statement na kwanini tunaiita translation gain ni party ya comprehensive income na sio party ya profit or loss account na kwanini isiwe capital reserve iwe revenue reserve.na tunaiwasilishaje katika statement of owner equity.wanafunzi wanaopata CPA wengi hata swali rahisi kama hawawezi
Wengi wao wanaishia kufuga kuku.wasomi wengi wanashindwa kujiajiri sababu wanakrem tu darasani amini nakwambia ukimpa mtihani atafaulu vitendo je?zero tupu
Nyie ndio mnaowafanya wasanii wadanganye mali na hela wanazomiliki ila mkuu ndio umemaliza shule juzi ,naona kila comment yako unaweka na cpa.
Mimi ni Mswahili kweli na najivunia kuwa mswahili.. Ila mi syo mwehu kama wewe MZUNGU UCHWARA TEHHHHHHH
Na inaonesha kichwa chako kibovu mno UNAUNGA MKONO USHENZI.. KHA?
Kwa hyo ww unampima mtu kwa swali moja? duhhhhhhhhhhhh haya inaelekea ww mitihani yako tangu uanze shule ulkkuwa unapata 100.%
hata ww kuna mambo mengi ktk hyo fanu yako huyajui. Elimh haina mwisho bhana.. Na hakuna anayejua kila kitu
hivyo hiko hakiwezi kuwa kipimo kuwa hawajui
otherwise ww tuambie kwamba unajua kila kitu ktk accounts
yote tisa... Nambie ni holder gan wa CPA ulimwuliza hilo swali akawa hajui labda
Wengi wao wanaishia kufuga kuku.wasomi wengi wanashindwa kujiajiri sababu wanakrem tu darasani amini nakwambia ukimpa mtihani atafaulu vitendo je?zero tupu
Ndo uache uswahili na mambo ya kipuuzi sasa yasiyo.na tija mi niko well sana upstairs siko empty kama nyie wa uswazi.mliozoe vigodoro na kwenda kusafishwa nyota eti.ndo mafanikio hamna ushenzi wowote hapa lazima mpewe facts zenu sio mnaleta hoja nyepesi bila reasoning kuongea tu hii ndo jf kabla ya kuandika una think critically hapa hamna kusifia upuuzi eeh kajipange ndo maana ya great thinker
Nyie ndio mnaowafanya wasanii wadanganye mali na hela wanazomiliki ila mkuu ndio umemaliza shule juzi ,naona kila comment yako unaweka na cpa.
Kaka wakati nafanya CPA pale kwa edson mnazi mmoja ilikuwa shida.yaani watu walichokuwa wanafanya ni kuotea maswali yanayoweza kutoka kwenye mtihani.wewe nenda TRA wengi wao hawajui kodi.mwanzoni mwa mwaka nimeenda pale shaurimoyo kufanyiwa assessment ya kodi niliwachallange mwishoe wakaishia kunishangaa na nikalipa kodi ninayotaka Mimi kwa hoja za kitaalamu lakini.amini usiamini wafanyakazi wengi wa TRA hawajui kuitafsiri INCOME TAX act wamekariri tu
Sijacomment ili niku impress wewe!!mbovu akili yako,wewe si msomi?muda wa kujibishana huku ushenzini unatoa wapi?
Mnajifanya wasomi,usomi wenu upo kwenye kukejeli na kukashifu watu?unataka kila mtu awaze kama wewe!akienda kinyume kawa mshenzi!!
Diamond ni entertainer,nadhani hakuchagua yeye kutopiga kitabu,sasa kama anakipato kikubwa kuwazidi unaumia nini!
Wasomi wa siku izi utadhani wana degree ya vichambo na matusi its a shame kwa kweli!
Usomi wako kamsimulie mwanao,majigambo kibao akili zenu na mipasho yenu ni zaidi ya wacheza vigodoro mbao wadiss....kama waimba taarab yani ustaarabu wenu ni F!mpaka mtukane??
mfyuu!
Nyie ndio mnaowafanya wasanii wadanganye mali na hela wanazomiliki ila mkuu ndio umemaliza shule juzi ,naona kila comment yako unaweka na cpa.