Penzi la Jokate na Ommy Dimpozi lafichuka

Penzi la Jokate na Ommy Dimpozi lafichuka

Uzuri wa boys wa siku hizi hawapigani wala kugombea mademu kama enzi zetu, wanachofanya ni kupishana muda tena wakati mwingine wakipeana taarifa "leo niachie mimi " ugomvi umebaki kwa wadada na wasipoangalia wanaweza megwa na family nzima au group zima la marafiki,so Dimpoz fanya yako ukimchoka mshtue mshkaji mwingine naye aendelee!
 
Ha ha unachekesha!!!

Degree na usomi ndo zimezalisha magorofa mnayoyapiga picha....wasomi ndo wanatengeneza lami Bahati mbaya huko ushenzini mnazichimba kokoto...wasomi ndo wanaoperate mifumo ya dunia ambayo wewe huna uwezo Wa kuvuka kima cha kuzifikiria...

Huwezi fananisha wafanyabiashara na wasomi na huyo Domo ambae 95% ya ubongo hauwazi nje ya zinaa wakati wasomi usiku na mchana wanawaza kuset system ziende mbele ili vichwa Nazi Kama nyie mwendelee kuwaza upuuzi....

Ndio maana wapenzi Wa hizo nyimbo ni watu duni na caliber za chini Kama wewe....

Na diamond usanii ukifika kikomo maana yake ni kwamba ataanza kuwa na maisha ya wasiwasi kama wengine waliotangulia....

Ebu tukumbushane hapa wasanii waliowahi kutamba sana kwa tambo zao wakafirisika kipaji hadi maisha na sasa wanahangaika..

Ukija kwa msomi ni mtu anayejiamini.. Amelelewa kwa kufuata maadili ya kiafrika akafundishika na hana wasiwasi wa kukabiliana na challenges za ulimwengu...

Sasa huyu mnayemwita dadamondi.. Nyita ya usanii ikikatk kma ya waliotangulia itakuaje?

Maana msomi kumfilisi kwake mpk umkate KICHWA
 
Ahah kweli wew kichwa kibovu tehhhhh mwenye akili nzuri hawezi mdharau asiyemjua ahahahaaaa

haya nambie ww ni raia wa nchi gani zaidi ya Tanzania.. Mana nijuavyo mimi watz wote ss ni waswahili na tunajivunia lugha yetu ya kiswqhili.. Haya tuambie mambo ya uzunguni

Umepaniki baada ya kuambiwa ukweli nani kakwambia Watanzani wote wa swahili wewwe kumbe hujui we boya kudandia tu train kwa mbele ndo unachojua kwanza nani kaongea mambo ya uzunguni au ndo kupaniki we mtoto wa kiswazi kuwaza ujinga na vigodoro nikujue we ka nani eti kichwa kibovu kama we uliyezaliwa uswazi na wazazi wote ni empty set we ni mweupe sana kwanza una poor reasoning low iq ya kiswazi ukome kudandia treni kwa mbele wewe hujui hata maana ya mswahili kajipange unawaza vigodoro tu
 
Kigodoro ndo nn rafiki? maana unakitaja sana.. Ndo unatumiaga hyo kigodoro?

yan una maneno mengi hapo ndo unatufanya tukutambue ww ni mtu wa aina gn
 
Ha ha unachekesha!!!

Degree na usomi ndo zimezalisha magorofa mnayoyapiga picha....wasomi ndo wanatengeneza lami Bahati mbaya huko ushenzini mnazichimba kokoto...wasomi ndo wanaoperate mifumo ya dunia ambayo wewe huna uwezo Wa kuvuka kima cha kuzifikiria...

Huwezi fananisha wafanyabiashara na wasomi na huyo Domo ambae 95% ya ubongo hauwazi nje ya zinaa wakati wasomi usiku na mchana wanawaza kuset system ziende mbele ili vichwa Nazi Kama nyie mwendelee kuwaza upuuzi....

Ndio maana wapenzi Wa hizo nyimbo ni watu duni na caliber za chini Kama wewe....[/QUOT
 
a
Hamna bhana.. Kuhusu TRA hayo ni mambo ya rushwa.. Walitaka wakupige hela ndefu watafune cha juu.. Ila hesabu halisi wnaijua tena vizuri tu

Mkuu ngoja nikupe darasa leo hii ukitaka VODACOM wakupe kazi kama head of tax department.watakupa tax act zote za Tz kuanzia income,vat,international n.k kumbuka multinational company wote wanapenda kukwepa kodi.watakuuliza baada ya kupitia act zote wapi kuna loophole ya kukwepa kodi namaanisha tax avoidance na sio tax evasion.kwahiyo kama walitakiwa kulipa mil.500 Lakini ukawasaidia kulipa mil.100.hivyo kwa uwezo wako wako wa kuijua na kutafsiri vizuri act mpaka Kuziona loophole zilizosaidia kuavoid kulipa kodi zote wao ndio wanakuona expert wao na lazima mwisho wa mwaka na hawa wanaingia mkataba kabisa kwamba watalipwa %fulani katika kodi watakayoiokoa.mwisho wa siku wabongo wanaishia kukrem tu kuitafsiri hawawezi mwisho MNC wanawapa kazi hii maforeigner.wabongo wanaishia sijui makampuni za migodi kodi,Mara makampuni ya Simu hayalipi kodi.yatalipaje wakati tax expert wao wanaakili Mara 1000 kuzidi watu wa TRA
 
Kigodoro ndo nn rafiki? maana unakitaja sana.. Ndo unatumiaga hyo kigodoro?

yan una maneno mengi hapo ndo unatufanya tukutambue ww ni mtu wa aina gn
yani huwez kubishana na watu wanaojifanya wasomi wao,wajuaji wao,wenye pesa wao,kila kitu wao....afu kumbe ndo watu duuuuni kuliko wote wana masters za vichambo na maneno ya kejeli!wanawaza matusi na visuto kwa kifupi wanakataa tu ukweli kwamba wao si wastaarabu!
Kila mtu akijigamba akili zake za darasani na elimu yake,magari yake na wadhifa wake nadhani server itajaa...i pronounce them the most dumbest academicians ever!! Povu linawatoka kisa...diamond...anawauma,anawakereketa kama wanamjua...wabwabwaja kama walevi,mishipa ya shingo imewatoka kumhukumu mtoto wa tandale eti mzinzi...sasa kama uzinzi mbaya ushirikina wao wa fikra ndo mbaya zaidi...kwan anawafahamu?
 
a

Mkuu ngoja nikupe darasa leo hii ukitaka VODACOM wakupe kazi kama head of tax department.watakupa tax act zote za Tz kuanzia income,vat,international n.k kumbuka multinational company wote wanapenda kukwepa kodi.watakuuliza baada ya kupitia act zote wapi kuna loophole ya kukwepa kodi namaanisha tax avoidance na sio tax evasion.kwahiyo kama walitakiwa kulipa mil.500 Lakini ukawasaidia kulipa mil.100.hivyo kwa uwezo wako wako wa kuijua na kutafsiri vizuri act mpaka Kuziona loophole zilizosaidia kuavoid kulipa kodi zote wao ndio wanakuona expert wao na lazima mwisho wa mwaka na hawa wanaingia mkataba kabisa kwamba watalipwa %fulani katika kodi watakayoiokoa.mwisho wa siku wabongo wanaishia kukrem tu kuitafsiri hawawezi mwisho MNC wanawapa kazi hii maforeigner.wabongo wanaishia sijui makampuni za migodi kodi,Mara makampuni ya Simu hayalipi kodi.yatalipaje wakati tax expert wao wanaakili Mara 1000 kuzidi watu wa TRA

Kwa hyo ww ukiwa kama mtz upo tayari kuisaidia kampuni kukwepa kodi ili mkono uende kinywani.. Sasa hpo elimu imekusaidia au imekuharibu? binafsi nikiitwa kufanya hyo kazi sifanyi ht kama nitatambua mbinu za kuwasaidia kufanya tax avoidance...
 
Na wanaopenda hizi nyimbo za hao akina diamond mara nyingi vichwa hewa kama huyu princess sayuni

We unikome mi sio kichwa hewa ni wewe wa uswahili kwanza sisikilizagi huo ujinga na nyimbo za uswahili kama wewe na vigodoro vyenu huko huko uswahili kwenu mxiiiiiiiew
 
Last edited by a moderator:
Akili yako inawaza ngono tu kwa kudhani kuwa ngono na kubadilisha wanawake ni kitu cha maana?
still unasema umesoma UK? BASI VYUO VYA UK KAMA INAFINDISHA KUWA KUBAFILISHA WANAWAKE NA KUFANYA NGONO NA WATU WENGI NI DEAL BASI HAMNA KITU

Ahahahaa huyo achana nae ndo wale wale wanafikiri kutumia tundu la nyuma
 
Kwa hyo ww ukiwa kama mtz upo tayari kuisaidia kampuni kukwepa kodi ili mkono uende kinywani.. Sasa hpo elimu imekusaidia au imekuharibu? binafsi nikiitwa kufanya hyo kazi sifanyi ht kama nitatambua mbinu za kuwasaidia kufanya tax avoidance...

Sawa we endelea kuwa mzalendo kuzidi wanasiasa.wanasiasa ni wanafiki sana kodi kubwa tunalipa sisi walalahoi wao wametunga sheria ambazo zinawafanya wasilipe kodi nyingi kama watz wa kawaida.mfano waajiriwa wote wanalipa kodi ya PAYE isipokuwa rais wa nchi je yeye sio muajiliwa wa jamhuri au sio raia Wa tz.wastaafu wote wanakatwa kodi za mafao yao lakini wabunge wamejiwekea kinga kwamba wakimaliza kipindi cha bunge cha miaka 5 Yale mafao yao hayakatwi kodi yoyote sijawahi kumsikia wakati mwl wa s/msingi anayestaafu baada na kupewa mil.30 wanamkata kodi huyu mbunge anayepewa mil.60 tena kwa miaka 5 hakatwi kodi.yaani ningekuchambulia hapa ni mambo mengi wanasiasa wamejipa kinga ya kodi halafu sisi walalahoi ndio tunalipa.uzalendo upo wapi?
 
Akili yako inawaza ngono tu kwa kudhani kuwa ngono na kubadilisha wanawake ni kitu cha maana?
still unasema umesoma UK? BASI VYUO VYA UK KAMA INAFINDISHA KUWA KUBAFILISHA WANAWAKE NA KUFANYA NGONO NA WATU WENGI NI DEAL BASI HAMNA KITU

Ahahahaa huyo achana nae ndo wale wale wanafikiri kutumia tundu la nyuma, kutembea na malaya wa jiji wema basi wanajiona wajanja, basi akamgonge na kim tumuone kwel yeye sukar ya warembo
 
Kwahiyo wewe maisha kwako ni kutongoza na kugongea watu Dada zao??

Ha ha ha watoto Wa ushenzini mnachekeshaga Sana maana ukijadili nanyi huwa hamtoki nje ya duara la ngono...

Muulize wema Kati ya Domo na Clement nani alikua anamhonga Sana then uje na jibu Kati ya msomi na chokoraa nani anajimudu kimaisha....

Ahahahhha apo chacha, akijibu hili swali binamu usisahau kuniita, kwikwiiiiiii ahahahha rahaaa sanaa aiseeh, hata gari analotumia demu wakw ni lile alilomnunulia clement, sasa huyu bilionea ndomo anapata mil 200 kwa wiki kashindwa kumnunulia hata vits?
 
Back
Top Bottom