a
Mkuu ngoja nikupe darasa leo hii ukitaka VODACOM wakupe kazi kama head of tax department.watakupa tax act zote za Tz kuanzia income,vat,international n.k kumbuka multinational company wote wanapenda kukwepa kodi.watakuuliza baada ya kupitia act zote wapi kuna loophole ya kukwepa kodi namaanisha tax avoidance na sio tax evasion.kwahiyo kama walitakiwa kulipa mil.500 Lakini ukawasaidia kulipa mil.100.hivyo kwa uwezo wako wako wa kuijua na kutafsiri vizuri act mpaka Kuziona loophole zilizosaidia kuavoid kulipa kodi zote wao ndio wanakuona expert wao na lazima mwisho wa mwaka na hawa wanaingia mkataba kabisa kwamba watalipwa %fulani katika kodi watakayoiokoa.mwisho wa siku wabongo wanaishia kukrem tu kuitafsiri hawawezi mwisho MNC wanawapa kazi hii maforeigner.wabongo wanaishia sijui makampuni za migodi kodi,Mara makampuni ya Simu hayalipi kodi.yatalipaje wakati tax expert wao wanaakili Mara 1000 kuzidi watu wa TRA