Ha ha unachekesha!!!
Degree na usomi ndo zimezalisha magorofa mnayoyapiga picha....wasomi ndo wanatengeneza lami Bahati mbaya huko ushenzini mnazichimba kokoto...wasomi ndo wanaoperate mifumo ya dunia ambayo wewe huna uwezo Wa kuvuka kima cha kuzifikiria...
Huwezi fananisha wafanyabiashara na wasomi na huyo Domo ambae 95% ya ubongo hauwazi nje ya zinaa wakati wasomi usiku na mchana wanawaza kuset system ziende mbele ili vichwa Nazi Kama nyie mwendelee kuwaza upuuzi....
Ndio maana wapenzi Wa hizo nyimbo ni watu duni na caliber za chini Kama wewe....
Ahah kweli wew kichwa kibovu tehhhhh mwenye akili nzuri hawezi mdharau asiyemjua ahahahaaaa
haya nambie ww ni raia wa nchi gani zaidi ya Tanzania.. Mana nijuavyo mimi watz wote ss ni waswahili na tunajivunia lugha yetu ya kiswqhili.. Haya tuambie mambo ya uzunguni
Umepaniki baada ya kuambiwa ukweli nani kakwambia Watanzani wote wa swahili wewwe kumbe hujui we boya kudandia tu train kwa mbele ndo unachojua kwanza nani kaongea mambo ya uzunguni au ndo kupaniki we mtoto wa kiswazi kuwaza ujinga na vigodoro nikujue we ka nani eti kichwa kibovu kama we uliyezaliwa uswazi na wazazi wote ni empty set we ni mweupe sana kwanza una poor reasoning low iq ya kiswazi ukome kudandia treni kwa mbele wewe hujui hata maana ya mswahili kajipange unawaza vigodoro tu
Kigodoro ndo nn rafiki? maana unakitaja sana.. Ndo unatumiaga hyo kigodoro?
Ni hizo kengele zako
Ha ha unachekesha!!!
Degree na usomi ndo zimezalisha magorofa mnayoyapiga picha....wasomi ndo wanatengeneza lami Bahati mbaya huko ushenzini mnazichimba kokoto...wasomi ndo wanaoperate mifumo ya dunia ambayo wewe huna uwezo Wa kuvuka kima cha kuzifikiria...
Huwezi fananisha wafanyabiashara na wasomi na huyo Domo ambae 95% ya ubongo hauwazi nje ya zinaa wakati wasomi usiku na mchana wanawaza kuset system ziende mbele ili vichwa Nazi Kama nyie mwendelee kuwaza upuuzi....
Ndio maana wapenzi Wa hizo nyimbo ni watu duni na caliber za chini Kama wewe....[/QUOT
Hahaha pumzika mdada.. Usije kufa kwa kiu bure. Maana mdomo ndo mtaji wako badala ya kichwa ahaha
Hamna bhana.. Kuhusu TRA hayo ni mambo ya rushwa.. Walitaka wakupige hela ndefu watafune cha juu.. Ila hesabu halisi wnaijua tena vizuri tu
Ni hizo kengele zako
yani huwez kubishana na watu wanaojifanya wasomi wao,wajuaji wao,wenye pesa wao,kila kitu wao....afu kumbe ndo watu duuuuni kuliko wote wana masters za vichambo na maneno ya kejeli!wanawaza matusi na visuto kwa kifupi wanakataa tu ukweli kwamba wao si wastaarabu!Kigodoro ndo nn rafiki? maana unakitaja sana.. Ndo unatumiaga hyo kigodoro?
yan una maneno mengi hapo ndo unatufanya tukutambue ww ni mtu wa aina gn
a
Mkuu ngoja nikupe darasa leo hii ukitaka VODACOM wakupe kazi kama head of tax department.watakupa tax act zote za Tz kuanzia income,vat,international n.k kumbuka multinational company wote wanapenda kukwepa kodi.watakuuliza baada ya kupitia act zote wapi kuna loophole ya kukwepa kodi namaanisha tax avoidance na sio tax evasion.kwahiyo kama walitakiwa kulipa mil.500 Lakini ukawasaidia kulipa mil.100.hivyo kwa uwezo wako wako wa kuijua na kutafsiri vizuri act mpaka Kuziona loophole zilizosaidia kuavoid kulipa kodi zote wao ndio wanakuona expert wao na lazima mwisho wa mwaka na hawa wanaingia mkataba kabisa kwamba watalipwa %fulani katika kodi watakayoiokoa.mwisho wa siku wabongo wanaishia kukrem tu kuitafsiri hawawezi mwisho MNC wanawapa kazi hii maforeigner.wabongo wanaishia sijui makampuni za migodi kodi,Mara makampuni ya Simu hayalipi kodi.yatalipaje wakati tax expert wao wanaakili Mara 1000 kuzidi watu wa TRA
Na wanaopenda hizi nyimbo za hao akina diamond mara nyingi vichwa hewa kama huyu princess sayuni
Akili yako inawaza ngono tu kwa kudhani kuwa ngono na kubadilisha wanawake ni kitu cha maana?
still unasema umesoma UK? BASI VYUO VYA UK KAMA INAFINDISHA KUWA KUBAFILISHA WANAWAKE NA KUFANYA NGONO NA WATU WENGI NI DEAL BASI HAMNA KITU
Kwa hyo ww ukiwa kama mtz upo tayari kuisaidia kampuni kukwepa kodi ili mkono uende kinywani.. Sasa hpo elimu imekusaidia au imekuharibu? binafsi nikiitwa kufanya hyo kazi sifanyi ht kama nitatambua mbinu za kuwasaidia kufanya tax avoidance...
Akili yako inawaza ngono tu kwa kudhani kuwa ngono na kubadilisha wanawake ni kitu cha maana?
still unasema umesoma UK? BASI VYUO VYA UK KAMA INAFINDISHA KUWA KUBAFILISHA WANAWAKE NA KUFANYA NGONO NA WATU WENGI NI DEAL BASI HAMNA KITU
Kwahiyo wewe maisha kwako ni kutongoza na kugongea watu Dada zao??
Ha ha ha watoto Wa ushenzini mnachekeshaga Sana maana ukijadili nanyi huwa hamtoki nje ya duara la ngono...
Muulize wema Kati ya Domo na Clement nani alikua anamhonga Sana then uje na jibu Kati ya msomi na chokoraa nani anajimudu kimaisha....
Atakugonga wewe unayemshobokea na ma nguchiro wenzio wote wanaomshobokea