mtvbase
JF-Expert Member
- May 22, 2014
- 1,243
- 561
Nimepitia comments nyingi umu...ila nimeona jinsi wasomi wa kibongobongo akili zao zinavyowakilishwa na lusungo na mudakwapa....Yani ushamba ni mzigo sana,mjini hapa unajivunia vyeti wakati watu wanaheshimu pesa? kweli kuna haja watu wakitoka udsm mzumbe sua ifm wafundishwe na shortcourse ya ujanja...mtu upo mjini na unajiita msomi alafu unajitamba umeajiriwa duh kweli acha wamchukie diamond .
Wanaumia sana utakuta msomi anakaa kibamba anaamka saa 10 alfajiri anawahi Posta Nmb anakaa dirishani mpaka saa 10 anawamalizia wateja wa ndani mpaka saa 11 anaanza kubalance mpaka saa 1jioni anaanza kuangaikia usafiri kufika kibamba saa 4 usiku.muda wote huo anamfanyia kazi mwanadamu mwenzie.kufika nyumbani anapiga bao moja kutokana na uchovu.ratiba inaendelea mpaka ijumaa.jumamosi anafanya kazi mpaka saa 7 mchana.akitoka hapo anaenda kwenye vikao vya harusi jioni.jioni ndio anaenda club sababu kesho yake haendi kazini.sasa akimuona diamond abanwi na mtu yeyote yeye kila siku ni shangwe mapovu ya hasira yanawatoka.mwishoni