Penzi la Jokate na Ommy Dimpozi lafichuka

Penzi la Jokate na Ommy Dimpozi lafichuka

I see no point in ur comment, matusi ya ajabu ajabu tu jaribu bas hata kuongea point kidogo , sasa wewe ukitumia lugha chafu, warumi ana shahada za kutosha tu, sasa tusifike uko sana, jaribu kujibu hoja bas sometimes
Binamu...kama ulianzisha uzi hukutaka watu wenye mawazo tofauti wachangie ungesema kabisaaaa....!Hapa the issue sio shahada zenu nyie wasomi bali na uwezo finyu wa kutoa hoja na kuitetea huku mkibase katika personala aspects,chuki na shihaka!
Kwa mtindo huu mnaweza kukaa ktk mdahalo wa maana kabisa wa kisomi mkaongea na watu wenye hoja kinzani msitukane!Wewe unamchuki diamond ni waaaz...sasa kila atajae jaribu kumtetea unampinga kwa nguvu zooote!haa...afu wazungu wakitumia kauli hizo hizo dhidi ya watu weusi mnawaita racist na nyie ni kina nani!we tuletee udaku tunashukuru ila usiwe biased....!
 
Last edited by a moderator:
Wasomi wenyewe wako wapi wabeba vyeti tu awa......msomi wa kibongobongo akawatishie wasioiona shule kama kina matola, sie wasitutishe kabisaa.........lecturer wa IT na hajawahi ata kutengeneza kiapplication au kasoftware kakizushi nae ajiite msomi.....injinia anajiandaa kufanya mtihani wa kugraduate unakuta yupo bize anameza notes uyu nae wakukutisha........ Hao wahitimu wa muziki uko chuo bagamoyo mbona hatuwaoni wakichaguliwa Bet au Mtv au ata wakisimama kwenye majukwaa makubwa sana sana wanaishia kuimba kwenye mahotel.....Mtu amesomea community development akipewa aandae mradi ajui ata aanzie wapi,kazi wanazofanya sasa ni kuandaa per diem, kutick orodha flani,kuingiza maandishi kwenye form yani hakuna lolote.

Msomi wa kibongobongo hatishi kabisa msiwaogope na tai zao wanamatatizo kinoma,si unaona stress zao umu .

Ha ha utalia Sana we kima shule utaisikia redioni...

Wasomi Wa kibongo ndo wanaokufungia umeme...rekebisha network na Ku operate simu mnazotumia...

Ha ha ha eti kuchaguliwa bet haya huyo aloenda kavuna nini?

Mkikaa huko vibarazani kwenu kunakonuka shombo hayo ndo mafanikio mnaojivunia ndugu za funza...

Yaani kwa upogo ulonao tongotongo zimekujaa mpaka unashindwa ona clear lines....

MTU alokulia ushenzini kakuta nna standard life mi nimwonee wivu Wa nini?

Ukweli unaujua shule inakuuma Sana kuikosa pole Sana...

Mimi siwezi mwonea wivu MTU anayeishi maisha ya laana tupu..
 
Hakika umenena mkuu.....msomi acha aheshimiwe.....na elimu ina nafas kubwa sana katika aya maisha uwez mfananisha msomi hata wa certificate na mtu wa lasaba hakika akil znakua tofauti

hakuna mtu asiyekubaliana na ukweli huu kuwa msomi ni mtu tofaut na La saba.tunachotofautiana ni jinsi la saba anavyomzidi kimafanikio aliyesoma.kama diamond,Ay na jide walivyomzidi mafanikio ya kimuziki Mwana fa(masters holder ya u.k)
 
I see no point in ur comment, matusi ya ajabu ajabu tu jaribu bas hata kuongea point kidogo , sasa wewe ukitumia lugha chafu, warumi ana shahada za kutosha tu, sasa tusifike uko sana, jaribu kujibu hoja bas sometimes

Mpotezee tu uyo asije akakusababishia ban buree
 
Last edited by a moderator:
Msomi wa kweli hutumia mda wake kwa jamii kuwaelimisha mwenendo sahihi.. Kimsingi hapa hakuna aliyepoteza mda.. Tumejaribu kuwaelewesha bahati mby vchwa vyenu vibovu hamtaki kuelewa

tatizo la watu ambao IQ zenu sifuri ni kwamba mnadhani maisha ni hela.. Starehe na uzinzi.. Thats why tukaamua kuwaelekeza kuwa.. Hayo si maisha.. Ni wehu

lakini kwa kuwa ni makopo hamuwez kuelewa kinachozungumzwa na hamtabadilika daima

HALAFU LINGINE.. UNASEMA SIJUI KIINGEREZA CHA KUKARIRI

NADHANI WW NI MIONGON MWA WATU WANAODHANI KUWA KUJUA KIINGEREZA NI KIPIMO CHA USOMI.. HUU NI UJINGA MWINGINE AMBAO NAKUSHAURI KUANZIA LEO FUTA
Domo chaaafu...usomi wako haujakusaidia...mwanaume unasimamisha domo ka mwehu...!iq yako ingekua kubwa kama unavodai ungekua biz.
 
Hakika umenena mkuu.....msomi acha aheshimiwe.....na elimu ina nafas kubwa sana katika aya maisha uwez mfananisha msomi hata wa certificate na mtu wa lasaba hakika akil znakua tofauti

My cousin umeongea point muhimu sana elimu ni kitu kingine bwana na sio wote wanaweza kuwa nayo kama makalio ambayo kila mtu education is everything bwana especially kwa kutoa awareness even arguig huwezi kumweka standard seven aka argu kisomi
 
warumi ana shahada za kutosha tu

izo shahada ndio tunazisema hapa zimesaidia nini zaidi ya kusubiri kukinga mwisho wa mwezi.....wewe unamtukana diamond hana shule,mwenzio katoa ajira kibao,ana mpiga picha,ana wacheza show,ana mameneja watatu,ana baunsa,ana designer wote awa anawalipa kutokana na muziki wake....watu wanadrive riziki zinatoka kwa uyu uyu mnaemwita mswahili wa tandale....we. msomi umefanya nini zaidi ya kutema matusi tu hapa..
 
Last edited by a moderator:
Hakika umenena mkuu.....msomi acha aheshimiwe.....na elimu ina nafas kubwa sana katika aya maisha uwez mfananisha msomi hata wa certificate na mtu wa lasaba hakika akil znakua tofauti

Baby achana na wajaa Lana hao wakibanwa na hizo kaswende na gonorea zao utawakuta wanalilia madaktari wawatibie...

Jaribu kuwakuta huko ushenzini kwao kuanzia asubuhi mpaka jioni wanachoongea...wanachowaza na kutamani ni zinaa tupu

Hapo kila MTU ukimuuliza utafanyia nini hela jibu litakuja kula pamba na kupata mademu wazuri baasi...

Wamebeba usaha tu vichwani
 
hakuna mtu asiyekubaliana na ukweli huu kuwa msomi ni mtu tofaut na La saba.tunachotofautiana ni jinsi la saba anavyomzidi kimafanikio aliyesoma.kama diamond,Ay na jide walivyomzidi mafanikio ya kimuziki Mwana fa(masters holder ya u.k)

Hapa naomba nikukosoe..

Kwamba unaamin mafanikio ni hela bila shaka

lakini tukumbuke MWALIMU NYERERE ANASIFIKA KUWA ALIKUWA MSOMI

LAKINI ALICHAGUA KUTUMIA ELIMU YAKE KUIJENGA TZ.. NA SI KUJILIMBIKIZIA HELA

LAKIN STILL KILA MTU ANATAMBUA KUWA NYERERE NI MSOMI HASWA

UKWELI UNABAKI KUWA maisha si hela ngono ulevi nk.. Hizi zote ni anasa tu ambzo kila.mtu anaweza kuzifanya kama tu akiamua kuzifanya

lakini si kila mtu anaweza kuwa profesa
 
izo shahada ndio tunazisema hapa zimesaidia nini zaidi ya kusubiri kukinga mwisho wa mwezi.....wewe unamtukana diamond hana shule,mwenzio katoa ajira kibao,ana mpiga picha,ana wacheza show,ana mameneja watatu,ana baunsa,ana designer wote awa anawalipa kutokana na muziki wake....watu wanadrive riziki zinatoka kwa uyu uyu mnaemwita mswahili wa tandale....we. msomi umefanya nini zaidi ya kutema matusi tu hapa..

Mtu kama bakhressa hata degree hana lakini katoa ajira zaidi ya mil.1 Tanzania na watu wamejiajiri kupitia yeye.sio watu wanalingia mavyet tu
 
Domo chaaafu...usomi wako haujakusaidia...mwanaume unasimamisha domo ka mwehu...!iq yako ingekua kubwa kama unavodai ungekua biz.

Domo chafu analo yule wajalalani mwenzio analohangaika kulirekebisha kutwa linatema maneno yalojaa Lana tupu!!!
 
Hakika umenena mkuu.....msomi acha aheshimiwe.....na elimu ina nafas kubwa sana katika aya maisha uwez mfananisha msomi hata wa certificate na mtu wa lasaba hakika akil znakua tofauti

Yes, na serikali ya kitanzania inawachukulia wasanii nchini kama wajinga na watu wasiojielewa kutokana na ukweli kwamba hawajaelimika na ndio maana hawatoi msaada wa aina yeyote kwa wasanii wetu tofauti na nchi za wenzetu zilizoendelea, Bado sanaa nchini Tanzania inatambulika kama ni sehemu wanayokimbilia vijana baada ya KUFELI maisha.
 
hakuna mtu asiyekubaliana na ukweli huu kuwa msomi ni mtu tofaut na La saba.tunachotofautiana ni jinsi la saba anavyomzidi kimafanikio aliyesoma.kama diamond,Ay na jide walivyomzidi mafanikio ya kimuziki Mwana fa(masters holder ya u.k)

Hata mm nna kipaj japo sio cha uimbaj nlikitumia kipaji changu vzur tu bila kuwaza kwenda shule mwisho wa siku nlioona kipaji kinanisaidia ya leo tu nikawaza je yakesho...... nkaamua kwenda shule coz shule inanafas yake mkuu....we unazan ukiwa mwanamzk ikatokea bahat mbaya ukaumwa mziki utaendea??? au inatokea umezeeka unazan kuna mafao ya wasanii??? tatizo unawaza ya leo uwaz ya kesho......
 
Wasomi Wa kibongo ndo wanaokufungia umeme...rekebisha network na Ku operate simu ..

kwaio we ukija kunifungia umeme nyumbani kwangu,au kurekebisha network au kuwa operator wa simu unajivunia msomi sana??
 
My cousin umeongea point muhimu sana elimu ni kitu kingine bwana na sio wote wanaweza kuwa nayo kama makalio ambayo kila mtu education is everything bwana especially kwa kutoa awareness even arguig huwezi kumweka standard seven aka argu kisomi

Kabisa cousin....awajiuliz kwann bungen haingii std seven.....
 
kwaio we ukija kunifungia umeme nyumbani kwangu,au kurekebisha network au kuwa operator wa simu unajivunia msomi sana??

Mi siwezi kuja ushenzini kufunga umeme....

Wapo Wa hizo level japo huwafikio...

Mi nimeanza kupanda business class huyo kima wenu hajaanza sikika...

Acheni maisha yalojaa laana jifunzeni ustaarabu...pendeni shule na mjifunze kutengeneza maisha ya baadae...

Hebu panueni mawazo yatoke nje ya pombe na ngono basi muone dunia nyingine....
 
Domo chafu analo yule wajalalani mwenzio analohangaika kulirekebisha kutwa linatema maneno yalojaa Lana tupu!!!
wa jalalani mwenzangu ni wewe...unayekalia maneno ya kigodoro hapa afu unajiita msomi..au pengine mnadhan wasomi ni nyie tu humu?kujigamba na kujibetua betua domo lako eti we msomi afu ukawa una maneno mabaya na kejeli hali ya juu kuliko hao unatuita the so cold wa ushenzini ni laana tosha!
 
Baby achana na wajaa Lana hao wakibanwa na hizo kaswende na gonorea zao utawakuta wanalilia madaktari wawatibie...

Jaribu kuwakuta huko ushenzini kwao kuanzia asubuhi mpaka jioni wanachoongea...wanachowaza na kutamani ni zinaa tupu

Hapo kila MTU ukimuuliza utafanyia nini hela jibu litakuja kula pamba na kupata mademu wazuri baasi...

Wamebeba usaha tu vichwani

Hahahaaaaaaa uwiiii
 
Back
Top Bottom