Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
Binamu...kama ulianzisha uzi hukutaka watu wenye mawazo tofauti wachangie ungesema kabisaaaa....!Hapa the issue sio shahada zenu nyie wasomi bali na uwezo finyu wa kutoa hoja na kuitetea huku mkibase katika personala aspects,chuki na shihaka!I see no point in ur comment, matusi ya ajabu ajabu tu jaribu bas hata kuongea point kidogo , sasa wewe ukitumia lugha chafu, warumi ana shahada za kutosha tu, sasa tusifike uko sana, jaribu kujibu hoja bas sometimes
Kwa mtindo huu mnaweza kukaa ktk mdahalo wa maana kabisa wa kisomi mkaongea na watu wenye hoja kinzani msitukane!Wewe unamchuki diamond ni waaaz...sasa kila atajae jaribu kumtetea unampinga kwa nguvu zooote!haa...afu wazungu wakitumia kauli hizo hizo dhidi ya watu weusi mnawaita racist na nyie ni kina nani!we tuletee udaku tunashukuru ila usiwe biased....!
Last edited by a moderator: