Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Nadhani wema na team yake wote wamevamia Jf kuja kumtetea bahasha wao kazi ipo nahisi kabisa matumbo ni aunt ezekiel,mtvbase ni wema mwenyewe waliobaki hao ndio zile team zake zote
Lazima wamtetee bosi wao kwa gharama yoyote ha ha ha ni shiiidah ukisikia pah pah ujue kwishney