Penzi la Jokate na Ommy Dimpozi lafichuka

Mkuu wasifie tu wasomi lakini wao na wanasiasa ndio wanaongoza kuiangamiza nchii hii.mikataba yote mibovu ni wasomi waliosaini,juzi bunge la katiba mwigulu alipigania tax exemption ambazo hazina maana ziondolewe lakini wasomi wanasiasa wamekwamisha huo mswada.umewahi kujiuliza kwanini serikali inashindwa kesi kila siku ni kwasababu mawakili wa serikali wanahongeka sana.ndio maana hata magufuri aliposhindwa kesi na wale wavuvi sikushtuka kwasababu ninajua nyuma ya pazia.hata TRA hawajawahi kushinda kesi kubwa sababu ni hizohizo.nenda halmashauri wasomi wanakula hela za halmashauri mpaka Huduma za msingi zinakosekana.
Wakati la saba haibi chochote nchi hii
 
wewe wema usituleteee mambo yako ya bongo movie hebu rudini instagram huku mnatujazia server tu kenge nyie
 
Nadhani wema na team yake wote wamevamia Jf kuja kumtetea bahasha wao kazi ipo nahisi kabisa matumbo ni aunt ezekiel,mtvbase ni wema mwenyewe waliobaki hao ndio zile team zake zote

Watu wanamchukia diamond kwa wivu kwa kisingizio cha elimu.Michael Owen aliwahi kusema kama ingekuwa kusoma ndio njia pekee ya kufanikiwa asingekuwa na pesa na heshima kwenye jamii maana anasema akipewa kitabu asome hata dk 5 hamalizi atasinzia tu
 
La saba ataanzia wapi kuiba wakati shule ajaenda? Wasomi wanaiba kisomi, wewe kama hujasoma utaendelea kuilalamikia serikali mpaka unakufa, wasomi wanatumia fursa bhana.

Sasa la saba anaibaje bank au account ya madeni ya nje kama EPA? anaanzia wapi? Kwanza nani atakayempa madaraka ya kugusa hivo vitengo? Usicheze na elimu bhana.

Sasa watanzania wenyewe hawajasoma sasa kwa nini msiibiwe? Kama mtu mwenyewe hujitambui huna elimu serikali itakutambua vipi?
 
Mkuu wasifie tu wasomi lakini wao na wanasiasa ndio wanaongoza kuiangamiza nchii hii.mikataba yote mibovu ni wasomi waliosaini,juzi bunge la katiba mwigulu alipigania tax exemption ambazo hazina maana ziondolewe lakini wasomi wanasiasa wamekwamisha huo mswada.umewahi kujiuliza kwanini serikali inashindwa kesi kila siku ni kwasababu mawakili wa serikali wanahongeka sana.ndio maana hata magufuri aliposhindwa kesi na wale wavuvi sikushtuka kwasababu ninajua nyuma ya pazia.hata TRA hawajawahi kushinda kesi kubwa sababu ni hizohizo.nenda halmashauri wasomi wanakula hela za halmashauri mpaka Huduma za msingi zinakosekana.
Wakati la saba haibi chochote nchi hii
 
Watu wanamchukia diamond kwa wivu kwa kisingizio cha elimu.Michael Owen aliwahi kusema kama ingekuwa kusoma ndio njia pekee ya kufanikiwa asingekuwa na pesa na heshima kwenye jamii maana anasema akipewa kitabu asome hata dk 5 hamalizi atasinzia tu

wewe kenge maji kama kenge wengine mnaofananisha shule na nyimbo zetu za mchiriku pdidy mwenyewe bilionea anajua umuhimu wa shule na ana phd wewe kenge unasema nini kwani wewe domo anakupa nini kama sio kucheza viduku na kuharibu watoto wa taifa la baaadae ndio maana nimekwambi rudi instagram kashindane na wauza pachuchi wenzio sio huku Jf kenge mkubwa
 
wewe wema usituleteee mambo yako ya bongo movie hebu rudini instagram huku mnatujazia server tu kenge nyie

Tunatofautiana kwa hoja na tutakubaliana kwa hoja.Mimi ni auditor siwezi kutukana unajua professional ethics.kama una professional yoyote kama lawyer,auditor,supplier,doctor utakuwa umesoma hili somo.ebu nitajie 5 common professional ethics and due care ambazo professional anatakiwa kuwa nazo.maana ukingengeuka unaadhibiwa na professional body
 
Thanks mr google for making a world like a village...
 
Yaani comment zako zinakuonyesha wewe ni academician na sio professional.hivi unajua kuna tofauti ya academician na professional.maana mtu anayemaliza degree sio professional ni academician na ndio unayeweza kumkuta anatukana bila hoja
 
Ndio maana nakwambia wewe kenge unabisha umekuwa lecture sasa unanipa assingment Jf sina haja kukujibu auditor mbuzi kama wewe kwahiyo kutaja professional yako itakubadilisha kuwa kenge.....una haja kujua professional yangu maana nipo mbali na upuuzi wako uliosoma kenge wewe
 
Watu wanamchukia diamond kwa wivu kwa kisingizio cha elimu.Michael Owen aliwahi kusema kama ingekuwa kusoma ndio njia pekee ya kufanikiwa asingekuwa na pesa na heshima kwenye jamii maana anasema akipewa kitabu asome hata dk 5 hamalizi atasinzia tu

Hakuna anayemchukia Diamond, ila tofauti ya mtu aliyekwenda shule na "Billionare" Diamond ni kwamba personal life hawezi kuzipeleka Instagram na ndio maana kitendo cha Jokate kumpanulia Diamond kila mtu amememdharau.......

Unajuwa kwa nini watu hawamshangai Wema kupigwa pipe na Diamond? ni kwa sababu wanafanana yote ni mitoto iliyokosa malezi ya Baba.
 
Umeona sasa Dogo unavyopotea mpaka nitakukamata ma lecturer wa vyuoni ni academician. sio professional kama mimi.waulize timu yako ya matusi watakwambia
 
we Mnywabwilo na we ni kenge tu!! huwez kumuita mtu wema wakati unaona jina lake limeandikaa tofauti!! haya niambie hio dawa ya mbu wanakulipa sh. ngap kuweka avatar yao?? yanbningekua karibu na wewe ningekuchomeka utambi, na ntahakikisha ukienda choo hujambi, msomi gan kaz kufuga kitambi, hoja zako za kipuuz hata hazibambi, mjinga ambaye ukijisaidia hujichambi!
 
Hivi nikuulize swali Dogo tu kwanini wachezaji wa tanzania haswa football wanaambiwa sio professional prayer.jibu kwanza hili.sio kujitangaza msomi maswali mepesi ya mtaani yanakushindwa
 
umbea si sifa nzuri kwa mwanaume
 
Hivi nikuulize swali Dogo tu kwanini wachezaji wa tanzania haswa football wanaambiwa sio professional prayer.jibu kwanza hili.sio kujitangaza msomi maswali mepesi ya mtaani yanakushindwa

Kwahiyo Mbwana Samata siyo Professional? au huyu ni Mrundi?
 
wewe kenge utakuwa martin kadinda yule chakula cha watu mimi situmii id fake kama wewe umekuja na wambuzi hilo jina langu lipo unique unajua maaana ya wambuzi kikwetu ni takataka za kwenye zizi
 
Heheheeeeeeee!
 
Jaman wacheni tu hao bongostar wajilie mi nilipataga ka hela flan kama 5m kwa kweli ilikuja tu kwa udalali nikatafuta namba ya huyo kidoti nikatangaza dau la 2m akaniambia poa ila condition tukagegedane pretoria nilichoka kwa kweli nikatia mikono usoni familah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…