Penzi la Jokate na Ommy Dimpozi lafichuka

Diamond punguza kidogoooo...wenzio tunaona wivu hadi tunatukanana....ngololo, ngololo...

Ngoja nikalambe ndimu kabisaa naona shombo zimekolea humu....
 
wewe kenge utakuwa martin kadinda yule chakula cha watu mimi situmii id fake kama wewe umekuja na wambuzi hilo jina langu lipo unique unajua maaana ya wambuzi kikwetu ni takataka za kwenye zizi

Mbona huongei point inaishia kutukana tu humu jamvini.
 
Diamond punguza kidogoooo...wenzio tunaona wivu hadi tunatukanana....ngololo, ngololo...

Ngoja nikalambe ndimu kabisaa naona shombo zimekolea humu....

Umeona diamond amewafanya watu watukane wenzao.wanajifariji nina degree nina degree.wasomi wenyewe hawana lolote
 
wewe kenge utakuwa martin kadinda yule chakula cha watu mimi situmii id fake kama wewe umekuja na wambuzi hilo jina langu lipo unique unajua maaana ya wambuzi kikwetu ni takataka za kwenye zizi

na nimedindisha haswaaaa kama unavosema kamedinda... huu utambi unakusubiri wewe fisi maji!! alafu mambo haya bwana!! imagine, Mnyabwilo kwetu ni masaburi!! kama naliona hivi lako!! yan mpaka kupewa hilo jina mashallah utakua una kalio zuri weye!! kadinda kanahitaji nyabwilo lako aisee
 
Umeona diamond amewafanya watu watukane wenzao.wanajifariji nina degree nina degree.wasomi wenyewe hawana lolote

Wana wivu haooooo....

Achana nao bwana wasije kukutafutia ban...
Degree bongoo...kama degree hata kwapa lina degree ndo mana kipima joto kinawekwa kule....lol..
Wapotezeee...
 
Umeona diamond amewafanya watu watukane wenzao.wanajifariji nina degree nina degree.wasomi wenyewe hawana lolote
Diamond bado hajachelewa na ni mdogo bado, hata darasa la saba anaweza kupata degree ya fani yake wengi hamjui hata umuhimu wa chuo cha sanaa Bagamoyo.

Kofi Olomide anakata kiuno lakini ana degree yake, George Weah ameshine lakini alipata degree na udaktari wa heshima.

K Bazil havumi sasa hivi ila nina uhakika degree yake itamtoa.
 
ngoja yakiwakuta kazi kutangazana kuomba omba mchango kwa watu tuwasaidie
si bora hata yakinikuta NMB watakata mshahara wangu nna NHIF
nyie wapeni misifa ya kijinga tu
 
Check ulivyokuwa chakula cha watu unakubali na id yako fake sio mnatulea mambo yenu ya instagram humu jamvini sina muda kuongea na punga
 
Wana wivu haooooo....

Achana nao bwana wasije kukutafutia ban...
Degree bongoo...kama degree hata kwapa lina degree ndo mana kipima joto kinawekwa kule....lol..
Wapotezeee...

Msipojipanga ni lazima tuwapange, hao wasomi ndio kila siku mnawapigia magoti kuomba udhamini kutoka makampuni wanayoyaongoza.
 
Wana wivu haooooo....

Achana nao bwana wasije kukutafutia ban...
Degree bongoo...kama degree hata kwapa lina degree ndo mana kipima joto kinawekwa kule....lol..
Wapotezeee...

Degree wanazo hila ujuzi wanao mdogo sana last week nilienda kufungua akaunti ya limited company sababu huku kwetu kuna bank(jina kapuni) wamefungua branch mpya hivyo nikaona bora tuongeze akaunti nyingine.nikawapa requirement zote za kufungua limited company account.kuangalia signatory ni Mimi mwenyewe.kwasababu wamekrem wakaanza kusema nimekosea haiwezekani signatory akawa mmoja,nikawaambia kwani board resolution imesemaje kimya!wakawa wanadai eti kama signatory ni mmoja basi ingetakiwa ordinary shareholder niwe mwenyewe.na mimi nikawaambia company's act 2002 imezuia kampuni kuwa na shareholder mmoja ila inaruhusu signatories kuwa kuanzia mmoja.yaani wakawa tunabishana kumbuka wao wapo watatu mi nipo mwenyewe.wao wakawa wanabishana kwa nguvu mi nabishana kwa hoja.mwishoe wakapiga Simu sijui wapi ndio kiambia Mimi nipo correct niliwakasirikia ndio nikaona wasomi wabongo wanajua vitu kwa kukrem tu siku ikitoe scenario tofauti hawajui chochote.sasa msomi mzima Wa bank vitu vidogo kama hivi shida halafu ndio ataweza kujiajiri
 
Msipojipanga ni lazima tuwapange, hao wasomi ndio kila siku mnawapigia magoti kuomba udhamini kutoka makampuni wanayoyaongoza.

We huwapigii magoti kuwaomba kazi?
Kwani mkikubali dogo kawazidi kwa sasa kuna ubaya gani? roho mbaya tuu zimewajaaa!
 
i like this
 
We huwapigii magoti kuwaomba kazi?
Kwani mkikubali dogo kawazidi kwa sasa kuna ubaya gani? roho mbaya tuu zimewajaaa!

Wivu unawasumbua sana wasomi hata mwaka haujaisha Joti amefanya tangazo la tigo lile la Mzee mwisho chalinze akalipwa mil.40 baada ya tangazo kuhit akapewa tangazo lingine la pili lile la Mzee mwisho msata akapiga mil.40 jumla ngapi hapo mil.80.akapata mkataba na TMT hapo ndio sijui wanamlipa kiasi gani.sasa msomi mzima akiona mtu std seven kama joti anapata mil.80 kwa matangazo mawili ndio povu zinamtoka wakati yeye yupo tigo hiyo mil.80 anaisikia kwenye bomba.hata akienda bank kukopa hana hata credit point za kukopa mil.30.lazima tu alete matusi Jf
 
Tanzania inadidimizwa na kima Kama nyie mlounguza akili zenu kwa kuendekeza zinaa na starehe za kishenzi...

Hamuwezi fikirisha akili huko ushenzini hamwezi fikiri mbele kunakovuka hatua za miguu yenu...

Ukifika uchaguzi mnanunuliwa kwa pilao..khanga...kofia....na T-shirt yaani ni mithili ya minyani mnarushiwa ndizi mnakimbilia MTU ananyakua Mali....

Mpaka kizazi chenu cha kishenzi na cha laana kiishe chote tupate watoto wa fikara mpya huenda TZ ikaamka...

Mpaka hapo umenisoma kazaneni Sana kuzalishana bila mpango na kuendekeza ushenzi halafu wanaojua maana ya shule wawakalieni mabichwa yenu mlojaza usaha maana hao hao wasomi ndo wanaotajirika zaidi kuliko hao nyani wenu wanaopanua midomo...
 
We huwapigii magoti kuwaomba kazi?
Kwani mkikubali dogo kawazidi kwa sasa kuna ubaya gani? roho mbaya tuu zimewajaaa!
Mimi niwe na roho mbaya na Diamond kwa lipi hasa?

Sijawahi kuonana na Diamond hanijui wala simjui zaidi ya kusoma upumbavu wake kwenye media tu.

Siku hizi kuna appartment zinauzwa masaki mshaurini boss wenu akanunuwe, na kama mnampenda sana mwambieni kuna evening class siku hizi.

Mimi nakaa na wajasiriamali wenzangu ambao najuwa wamenizidi kila kitu na mzunguko wao wa pesa haupungui millioni 200 kwa siku na hatuna muda wa kudiscuss ufuska zaidi ya biashara tu.
 
Haya nimekusikia mjasiriamali....!
 
Ahahah ahahha, people who make the forum alive.
 
Washakuelewa ubishi tu unawasumbua...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…