Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe kenge utakuwa martin kadinda yule chakula cha watu mimi situmii id fake kama wewe umekuja na wambuzi hilo jina langu lipo unique unajua maaana ya wambuzi kikwetu ni takataka za kwenye zizi
Diamond punguza kidogoooo...wenzio tunaona wivu hadi tunatukanana....ngololo, ngololo...
Ngoja nikalambe ndimu kabisaa naona shombo zimekolea humu....
wewe kenge utakuwa martin kadinda yule chakula cha watu mimi situmii id fake kama wewe umekuja na wambuzi hilo jina langu lipo unique unajua maaana ya wambuzi kikwetu ni takataka za kwenye zizi
Umeona diamond amewafanya watu watukane wenzao.wanajifariji nina degree nina degree.wasomi wenyewe hawana lolote
Diamond bado hajachelewa na ni mdogo bado, hata darasa la saba anaweza kupata degree ya fani yake wengi hamjui hata umuhimu wa chuo cha sanaa Bagamoyo.Umeona diamond amewafanya watu watukane wenzao.wanajifariji nina degree nina degree.wasomi wenyewe hawana lolote
Ahsante kwa kunielewa, apa ndo tunapokuja kuona umuhimu wa ELIMU katika maisha. Maisha ya wasanii wa Tanzania yapo mikononi mwao wenyewe, hatma ya maisha yao ni juu yao wenyewe na sio serikali ya kikwete
Hata Leo msanii yeyote akiumwa sidhani kama atasema eti akakope pesa serikalini kwa kuwa tu yeye ni msanii maarufu, ila mwanafunzi wa chuo atakopeshwa, mwalimu wa shule ya msingi atakopeshwa ili kujikimu kimaisha, nashangaa wanavyocheka cheka ovyo na viongozi kana kwamba wamehaidiwa kujengewa nyumba za kuishi mastaa wa filami/muziki, wako wapi wasanii wakongwe wakina Ray c?
KIPAJI kinatolewa na mungu, na kuna ule msemo usemao kipaji chako ndio UTAJIRI wako lakini sio kwa hii nchi ya kikwete ,ni kule kwa obama binamu. Kipaji bila Elimu ni kazi bure tu, Elimu haileti maisha mazuri tu, bali inakupa mwangaza bora katika maisha
na nimedindisha haswaaaa kama unavosema kamedinda... huu utambi unakusubiri wewe fisi maji!! alafu mambo haya bwana!! imagine, Mnyabwilo kwetu ni masaburi!! kama naliona hivi lako!! yan mpaka kupewa hilo jina mashallah utakua una kalio zuri weye!! kadinda kanahitaji nyabwilo lako aisee
Wana wivu haooooo....
Achana nao bwana wasije kukutafutia ban...
Degree bongoo...kama degree hata kwapa lina degree ndo mana kipima joto kinawekwa kule....lol..
Wapotezeee...
Wana wivu haooooo....
Achana nao bwana wasije kukutafutia ban...
Degree bongoo...kama degree hata kwapa lina degree ndo mana kipima joto kinawekwa kule....lol..
Wapotezeee...
Msipojipanga ni lazima tuwapange, hao wasomi ndio kila siku mnawapigia magoti kuomba udhamini kutoka makampuni wanayoyaongoza.
Hakuna anayemchukia Diamond, ila tofauti ya mtu aliyekwenda shule na "Billionare" Diamond ni kwamba personal life hawezi kuzipeleka Instagram na ndio maana kitendo cha Jokate kumpanulia Diamond kila mtu amememdharau.......
Unajuwa kwa nini watu hawamshangai Wema kupigwa pipe na Diamond? ni kwa sababu wanafanana yote ni mitoto iliyokosa malezi ya Baba.
We huwapigii magoti kuwaomba kazi?
Kwani mkikubali dogo kawazidi kwa sasa kuna ubaya gani? roho mbaya tuu zimewajaaa!
Mkuu wasifie tu wasomi lakini wao na wanasiasa ndio wanaongoza kuiangamiza nchii hii.mikataba yote mibovu ni wasomi waliosaini,juzi bunge la katiba mwigulu alipigania tax exemption ambazo hazina maana ziondolewe lakini wasomi wanasiasa wamekwamisha huo mswada.umewahi kujiuliza kwanini serikali inashindwa kesi kila siku ni kwasababu mawakili wa serikali wanahongeka sana.ndio maana hata magufuri aliposhindwa kesi na wale wavuvi sikushtuka kwasababu ninajua nyuma ya pazia.hata TRA hawajawahi kushinda kesi kubwa sababu ni hizohizo.nenda halmashauri wasomi wanakula hela za halmashauri mpaka Huduma za msingi zinakosekana.
Wakati la saba haibi chochote nchi hii
Mimi niwe na roho mbaya na Diamond kwa lipi hasa?We huwapigii magoti kuwaomba kazi?
Kwani mkikubali dogo kawazidi kwa sasa kuna ubaya gani? roho mbaya tuu zimewajaaa!
Mimi niwe na roho mbaya na Diamond kwa lipi hasa?
Sijawahi kuonana na Diamond hanijui wala simjui zaidi ya kusoma upumbavu wake kwenye media tu.
Siku hizi kuna appartment zinauzwa masaki mshaurini boss wenu akanunuwe, na kama mnampenda sana mwambieni kuna evening class siku hizi.
Mimi nakaa na wajasiriamali wenzangu ambao najuwa wamenizidi kila kitu na mzunguko wao wa pesa haupungui millioni 200 kwa siku na hatuna muda wa kudiscuss ufuska zaidi ya biashara tu.
Hakuna anayemchukia Diamond, ila tofauti ya mtu aliyekwenda shule na "Billionare" Diamond ni kwamba personal life hawezi kuzipeleka Instagram na ndio maana kitendo cha Jokate kumpanulia Diamond kila mtu amememdharau.......
Unajuwa kwa nini watu hawamshangai Wema kupigwa pipe na Diamond? ni kwa sababu wanafanana yote ni mitoto iliyokosa malezi ya Baba.
Wivu unawasumbua sana wasomi hata mwaka haujaisha Joti amefanya tangazo la tigo lile la Mzee mwisho chalinze akalipwa mil.40 baada ya tangazo kuhit akapewa tangazo lingine la pili lile la Mzee mwisho msata akapiga mil.40 jumla ngapi hapo mil.80.akapata mkataba na TMT hapo ndio sijui wanamlipa kiasi gani.sasa msomi mzima akiona mtu std seven kama joti anapata mil.80 kwa matangazo mawili ndio povu zinamtoka wakati yeye yupo tigo hiyo mil.80 anaisikia kwenye bomba.hata akienda bank kukopa hana hata credit point za kukopa mil.30.lazima tu alete matusi Jf