Penzi la Jokate na Ommy Dimpozi lafichuka

Wana wivu haooooo....
Aaaaaa
Achana nao bwana wasije kukutafutia ban...
Degree bongoo...kama degree hata kwapa lina degree ndo mana kipima joto kinawekwa kule....lol..
Wapotezeee...
Ha ha ha!Kweli nyumba ya shetani mwendawazimu kaingiaje!!
 



Mimi nilisema matola humu kuna watu wanapenda kujaza server tu
 
hao vichwa panzi washazoea kusifiana ujinga huko vichochoroni kwao Mara ooh kanga yako nzuri ooh mboga yako tamu Mara unakitanda kizuri na ujinga mwiingi

hapa tunawapiga misumari ya nguvu mpaka mabichwa yao yamwage usaha
Bichwa lako na maneno yako ni usaha tosha...fanyeni kazi basi sio kuleta maneno maneno humu nyie si mpo bussy na mashamba hekari mia nane mara unapanda ndege mara sijuii upo so hi....walio so hi wapo bussy na kazi bt since u r crowned the most dumbest academician ever sishangai mie wa banda la mboga mboga muda wa kuibia humu nikiupata nakuta post zako kama mia!
 
Jokate akiingia humu looo
Tatizo watu walimdharau kugombania penzi la daimond na kumpindua Wema yaan Dai sio kwamba hamfai kidoti ila tabia za Dai za umalaya kubadili wanawakee ndio kumemfanya hivyooo jokate adharaulike
 
Jokate akiingia humu looo
Tatizo watu walimdharau kugombania penzi la daimond na kumpindua Wema yaan Dai sio kwamba hamfai kidoti ila tabia za Dai za umalaya kubadili wanawakee ndio kumemfanya hivyooo jokate adharaulike

Jokate ana nyota ya paka kupendwa na wachawi.....ni mala.ya tu kama mala.ya wengine sema hana bahati.Angetulia kweli asingekosa mwanaume wa maana wakaendesha maisha yao.

Pale alipo sijui hata amenufaika nini na kuti.wa hovyo zaidi atamiliki galaxy note na i phone kamaliza.
 

Mwanaume yeyote wa maana hawezi akakuona na Diamond mtemane halafu yeye atangaze ndoa.

Jokate ni cheap slot bitch na kwenye soccer malaya kama huyu wanaitwa Adidas.

Adidas ni viatu vya kuchezea mpira ambavyo kila super star lazima avivae. Am sorry to her family najuwa iko dissapointed sana na huyu Malaya mrembo.
 

Uwiiiiiiiiiiiii
 

Ndo nakwambia pamoja na umalaya wote aliofanya kwa daimond ndo alibugi.....la sivyo angeendeleza uasherati wake kwa hao kina kimei na mzee machache na wengineo huku akiendelea kusaka wakutulia nae.

Tatizo hao watoto wanapenda mambo makubwa wakati hawayawezi.....mwanaume wakuoa wapo simple always sio wapenda shobo kama anavyodhani yy.

Sasa hivi ana hahaaaaa kama mbwa wa kijiji!!!!
 
Zitto kabwe ni mnafiki na vijana washamstukia kuwa ni miongoni mwa watu wasiofaa tena.. Sasa kila kick anayojaribu kutokea ni majanga

sasa hiv ama chama kinachofadhiliwa na chama tawala.. Ni chama pinzani kinachotumikq kuponda upinzani

namsikitikia zzk kuwa nyota yake imefifia mapema mno
 
Oooh! Kumbe chichiri chichiri! Hao nyanyabi nyanyabi eeh! doo...
 
miss strong

Yeah ni kweli kwa dai ndo ali bugi step heshima yote ikashuka kwa kasi hata thamani yake mwenyewe nilikuwa namuona wa maana kumbe ni cheap kiasi hicho kajizaraulisha mwenyewe kupata mwanaume wa maana ni bahati tu otherwise she will suffer the consequence.
 
Last edited by a moderator:

Na zito katoka na Jokate au??? Au sijawaelewaaa
 

Wanaume waoaji hawawataki wao wanataka wauza sura na wavaa kata k.....huyo mpiga mchiriku wa kitorondo acha awatafune tu maana wanataka wenyewe.

Jokate kupata mwanaume wakumuoa anaemtaka yeye asahau kabisaaaaaa sasa hivi kaingia katika kundi la kuolewa na yeyote au kuwa single mother wa waume za watu .
 
Na zito katoka na Jokate au??? Au sijawaelewaaa

Ha ha ha wanachanganya madesa hao ingawa huenda alipita pia ingawa kwa leo sio agenda yetu.

Ingawa nasikia Mwasiti ndo kimwana wa huyu mwanasiasa,binamu warumi una lolote lakutujuza??
 
Last edited by a moderator:
Na zito katoka na Jokate au??? Au sijawaelewaaa

Ha ha ha wanachanganya madesa hao ingawa huenda alipita pia ingawa kwa leo sio agenda yetu.

Ingawa nasikia Mwasiti ndo kimwana wa huyu mwanasiasa,binamu warumi una lolote lakutujuza??
 
Last edited by a moderator:
kweli je alikua anaongea blah blah kibaooo...!!!
binafsi nilimuona km kachanganyikiwa flani hivi maana hakua anajibu maswali
mi nilikua namrespect sana ila asa hv hana lolote ndo wale yaani kasoro tarehe

Duh ngoja niitafute
 
Ha ha ha wanachanganya madesa hao ingawa huenda alipita pia ingawa kwa leo sio agenda yetu.

Ingawa nasikia Mwasiti ndo kimwana wa huyu mwanasiasa,binamu warumi una lolote lakutujuza??

Maana sijuii zito kaingiajee hapaa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…