Penzi la Jokate na Ommy Dimpozi lafichuka

Mtvbase ndio alituchanganyia mada ili tuache kuwajadili hawa Malaya akiwemo boss wake Diamond ili kuspin topic tumjadili Zitto, ukisoma post zote utaona kuna page mashambulizi yalizidi ndio wakamtumia Zitto kama sheen guard.

Ooooohhj kumbeee ni shedaaaaaa
 
Bichwa lako na maneno yako ni usaha tosha...fanyeni kazi basi sio kuleta maneno maneno humu nyie si mpo bussy na mashamba hekari mia nane mara unapanda ndege mara sijuii upo so hi....walio so hi wapo bussy na kazi bt since u r crowned the most dumbest academician ever sishangai mie wa banda la mboga mboga muda wa kuibia humu nikiupata nakuta post zako kama mia!

Una jipya?

Banda la mbogamboga au yale majani yanayojooteaga kule kwenye vimifereji vyenu vya chooni vichafu?

Mtoto Wa ushenzini akili ya bustani upate wapi zaidi ya kuwaza zinaa na mziki??

Oh yeah you suck...
 
Ha ha ha wanachanganya madesa hao ingawa huenda alipita pia ingawa kwa leo sio agenda yetu.

Ingawa nasikia Mwasiti ndo kimwana wa huyu mwanasiasa,binamu warumi una lolote lakutujuza??

Nilisikiaga na kwao kigoma katambulishwa na ndiga ya maana kanunuliwa cheusi dawa yule, watu wana bahat zao maana mwasiti mmh hapana kwa kweli ila ndo hvyo tena muheshimiwa kadata, tena nasikia ana mimba, sasa apa wambea ndo tunabishana wengine wanasema ya zito wengine tunasema ya sam missago wa eatv.

Wakina shakoor waje watuambie na apa bibie na zito walizini mara ngapi
 
Last edited by a moderator:
tutsi gal Mimi ninacho shangaa huyu MTU kutoka na Dimpoz rafiki wa karibu wa Diamond ambaye alikuwa Mpenzi wake na inawezekana akatoka kwa Dimpoz akaenda kwa yule ndugu yake Diamond! Huyu yuko cheap sana wamepanga kumzunguka wote.. .

Na AY badae FA na ni zaidi ya marafiki hawa...
 
Last edited by a moderator:
Una jipya?

Banda la mbogamboga au yale majani yanayojooteaga kule kwenye vimifereji vyenu vya chooni vichafu?

Mtoto Wa ushenzini akili ya bustani upate wapi zaidi ya kuwaza zinaa na mziki??

Oh yeah you suck...
malkia ju..a we,je kwel ingekua banda la mboga mboga ungechekelea na marienge yako!ntakukuta tena badae msomi weye!Na una muda kweli wa ushenzini mwenzangu!na jivi lako lina rutuba mboga zangu zastawi kwel
 
Nilisikiaga na kwao kigoma katambulishwa na ndiga ya maana kanunuliwa cheusi dawa yule, watu wana bahat zao maana mwasiti mmh hapana kwa kweli ila ndo hvyo tena muheshimiwa kadata, tena nasikia ana mimba, sasa apa wambea ndo tunabishana wengine wanasema ya zito wengine tunasema ya sam missago wa eatv.

Wakina shakoor waje watuambie na apa bibie na zito walizini mara ngapi

Heheeeeee usiringie uzur ringia bahati jamani.....bi mdashi yule na pua zilivyomtanuka lakin mwanasiasa kaozea pale ingawa jana kasema ni dada yake.

Zzk nasikia nae ni transfoma sasa kazi ipo wajameni.Sam missago nae anapumzika kwa huyu bibi kiroboto nae??makuuubwa haya jamani
 
malkia ju..a we,je kwel ingekua banda la mboga mboga ungechekelea na marienge yako!ntakukuta tena badae msomi weye!Na una muda kweli wa ushenzini mwenzangu!na jivi lako lina rutuba mboga zangu zastawi kwel

Umeandika nini sasa? Hata kusomeka hayasomeki achilia mbali kueleweka...

Hivi nani kawaleta jf? Maana kwa hizo akili zenu chafu mngefaa kuishia huko Facebook.....

Yaani kila kitu kwenu uchafu tu kuanzia miili mpaka matendo....

Naona kima mwenzenu angeweza rekebisha lile Domo Kama kaango la mihogo ndo ingekua balaa...

Hapa watu hawaagi......
 
Heheeeeee usiringie uzur ringia bahati jamani.....bi mdashi yule na pua zilivyomtanuka lakin mwanasiasa kaozea pale ingawa jana kasema ni dada yake.

Zzk nasikia nae ni transfoma sasa kazi ipo wajameni.Sam missago nae anapumzika kwa huyu bibi kiroboto nae??makuuubwa haya jamani

NDO vile binamu, watu na bahat zao, we huoni siku izi cheusi dawa mwasiti ahangaiki na kutoa single kama zamani? Hana njaa bibie ana uhakika na maisha, sema ndo ajipange maana muheshimiwa mwenyew ndo vileee tenaaa
 
Umeandika nini sasa? Hata kusomeka hayasomeki achilia mbali kueleweka...

Hivi nani kawaleta jf? Maana kwa hizo akili zenu chafu mngefaa kuishia huko Facebook.....

Yaani kila kitu kwenu uchafu tu kuanzia miili mpaka matendo....

Naona kima mwenzenu angeweza rekebisha lile Domo Kama kaango la mihogo ndo ingekua balaa...

Hapa watu hawaagi......

Mpe mpeeee mpeee huyooooo nakuaminiagaaaaaaaaa
 
Heheeeeee usiringie uzur ringia bahati jamani.....bi mdashi yule na pua zilivyomtanuka lakin mwanasiasa kaozea pale ingawa jana kasema ni dada yake.

Zzk nasikia nae ni transfoma sasa kazi ipo wajameni.Sam missago nae anapumzika kwa huyu bibi kiroboto nae??makuuubwa haya jamani

Kwa kweliii kama uzuri hata ndege tausi anao banaaa, uzuri hata ng'ombe anao tulilie bahati aiseeee
 
Huyo tushampiga misumari ya kutosha Jana naona Leo kaja na maneno yakuandikiwa but still ni yaleyale yanayowakilisha ulimwengu Wa giza

Hakujui huyuuu awaulize wenzieeeeee teh tehhhhh
 
Back
Top Bottom