miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,012
- 3,700
Kwa kweliii kama uzuri hata ndege tausi anao banaaa, uzuri hata ng'ombe anao tulilie bahati aiseeee
NDO vile binamu, watu na bahat zao, we huoni siku izi cheusi dawa mwasiti ahangaiki na kutoa single kama zamani? Hana njaa bibie ana uhakika na maisha, sema ndo ajipange maana muheshimiwa mwenyew ndo vileee tenaaa
Heheeeeee usiringie uzur ringia bahati jamani.....bi mdashi yule na pua zilivyomtanuka lakin mwanasiasa kaozea pale ingawa jana kasema ni dada yake.
Zzk nasikia nae ni transfoma sasa kazi ipo wajameni.Sam missago nae anapumzika kwa huyu bibi kiroboto nae??makuuubwa haya jamani
Hilo nalo neno unaweza kuwa mzuri steel huna bahati na kama jepesi ana transfoma atakuwa kashawasambazia wote
Heheeeeee usiringie uzur ringia bahati jamani.....bi mdashi yule na pua zilivyomtanuka lakin mwanasiasa kaozea pale ingawa jana kasema ni dada yake.
Zzk nasikia nae ni transfoma sasa kazi ipo wajameni.Sam missago nae anapumzika kwa huyu bibi kiroboto nae??makuuubwa haya jamani
Bahati ndo mpango mzima....muheshimiwa anaburudika nae kwa mavituz huku anaimbiwa.
Halafu mtoto inaelekea anajua kulalamika kama nini.
Kwani wewe unadhani Amina Chifupa na Meddy Mpakanjia wamekufa kwa homa ya mafua ya ndege?
Connect dots zako jibu utalipata, halafu mtu mwenye mafanikio ya kimaisha kama Zitto kutokuwa na mke ni jambo ambalo linahitaji akili za maiti ndio utakubaliana naye, something is very wrong with Zitto
Habari ndo hiyo....kama jokate na uzuri wote ule lakini kaambulia mtaji wa kuuza ndala.
Nicheke mie ninenepeeee
Na hutu twenye sura kavu tukikuibia mumeo au mpenzi wako umeishaa ni hatari kitandaniii
Ha ha ha wanajua hawauziki kirahisi kimuonekano kwahyo anakaza chumbani.
Yaani akiingia room inakuwa vita
Yule naye baada ya kujiona miss na kujulikana akajifanya ana kipaji cha kila kitu mara kile mara nini dio kwamba hana bahati hajiheshimu mwenyewe ndo mana anatanga ana fanya vitu kama hajaenda shule mara leo mwimba kitorondo angekaa chini afikiri
Na hutu twenye sura kavu tukikuibia mumeo au mpenzi wako umeishaa ni hatari kitandaniii
Ugonjwa tu haumzuii yeye kuoa labda kama kuna tatizo lingine coz hao hao anaowati.a ndo wakuwaoa....nasubir hiyo movie lake na mwasiti.
Kuhusu hawa marehemu ilisemekana hivyo ingawa Tuwaache wapumzike tu ila orodha inatisha mno.
Akili Za watu wengine ovyo kweli Kama wamenyweshwa maji ya chooni.
Eti anampima mtu kujieleza kwa kipindi cha kipuuzi cha Mkasi. Kwa maswali gani hasa?!
Ova.
Kwani Amina nae ni kale ka ugonjwa ketu
Kwani wewe unaishi wapi? au na wewe ulilishwa matangopori kwamba wauza sembe ndio wametengeneza kifo chake?
Mi nipo huku kijijini hata network ya kusuasua hapa nilipo nipo juu ya mti