Penzi la Jokate na Ommy Dimpozi lafichuka

Hilo tangazo la airtel mi mbona sijawah lionaa ni channel ipi huoneshwaaa

Ha ha ha ha binamu unaishi wapi lakini? Tangazo liliwekwa mpaka humu jf mama ubaya anatangaza WTF yaani whatsapp...twitter na Facebook bure kwa AIRTEL nashangaa wamelitoa ghafla
 
Ha ha ha ha binamu unaishi wapi lakini? Tangazo liliwekwa mpaka humu jf mama ubaya anatangaza WTF yaani whatsapp...twitter na Facebook bure kwa AIRTEL nashangaa wamelitoa ghafla

Tatizo binamu yangu Dinazarde akiingia humu yeye busy na ubuyu tu hayo mengine yupo radhi yampite ona sasa kumbe hajui kama mama ubaya aliuza nyago airtel
 
Last edited by a moderator:
Tatizo binamu yangu Dinazarde akiingia humu yeye busy na ubuyu tu hayo mengine yupo radhi yampite ona sasa kumbe hajui kama mama ubaya aliuza nyago airtel

Yaan hata sijuii hapa umbea unaniwashaa hebu nitumie yale mapicha ya yule kijanaa banaa aliejiuaaa aaa mnapenda muone wenyewe tu kwan sie hatuna macho
 
Last edited by a moderator:
Yaan hata sijuii hapa umbea unaniwashaa hebu nitumie yale mapicha ya yule kijanaa banaa aliejiuaaa aaa mnapenda muone wenyewe tu kwan sie hatuna macho

Ahahh ahaha binamu zipotezee bhana, siwezi kuona kaka yangu anadhalilishwa kiasi kile halafu na mimi nionyeshe big no, ila kama angependa kufanyiwa vile basi kwa mara ya kwanza ningemtangaza jukwaa zima humu.

Nikikumbuka moyo unaenda kwa kasi sana, ukatili ule unatisha sana
 
kuna jitu limesema halinjui huyu m-mama...there is her
 
Nakugayaaaaa mimii
 
Kipindi cha kipuuzi kinahudhuriwa na wapuuzi na kutazamwa na wapuuzi pia, hivyo basi mpuuzi wa kwanza ni Zitto Kabwe kwa kushiriki kipindi cha kipuuzi na mpumbavu wa pili ni wewe msukule wake kwa kuangalia kipindi cha kipuuzi.

Nilitazama vipindi viwili tu vya kwanza na kugundua kwamba ni cha kipuuzi. Toka hapo sijatazama tena, nimekuachia wewe na wapuuzi wenzako mtazame. Huwa sina muda wa mambo ya kipuuzi, ndivyo nilivyo.
Ova.
 
Na mpuuzi namba moja Zitto Kabwe alikubali kuwa sehemu ya wapuuzi kwa kushiriki kwake.
 
mma ujobhile nkamu......maskini (diamond) akipata mata.ko hulia mbwata!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…