Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo tangazo la airtel mi mbona sijawah lionaa ni channel ipi huoneshwaaa
AYa sasa Dinazarde, princess sayuni, Mrembo by Nature, qn of sheba, Matola, christine ibrahim, Madame B, mtvbase, lusungo, geniveros bidhaa hiyo inapatikana madukani kote nchini Tanzania, sabuni ya kuogea MO.
Kama sikosei nilishaiona game pale mcity inauzwa 300
Bei rahisi namna hiyo?
rahisi kama balozi wake amekimbia kwenye ulaji kaenda kwenye ugawaji joketi anagawa uchi jamani ngoja niachie hapa tu!
Ha ha ha ha binamu unaishi wapi lakini? Tangazo liliwekwa mpaka humu jf mama ubaya anatangaza WTF yaani whatsapp...twitter na Facebook bure kwa AIRTEL nashangaa wamelitoa ghafla
AYa sasa Dinazarde, princess sayuni, Mrembo by Nature, qn of sheba, Matola, christine ibrahim, Madame B, mtvbase, lusungo, geniveros bidhaa hiyo inapatikana madukani kote nchini Tanzania, sabuni ya kuogea MO.
Tatizo binamu yangu Dinazarde akiingia humu yeye busy na ubuyu tu hayo mengine yupo radhi yampite ona sasa kumbe hajui kama mama ubaya aliuza nyago airtel
Yaan hata sijuii hapa umbea unaniwashaa hebu nitumie yale mapicha ya yule kijanaa banaa aliejiuaaa aaa mnapenda muone wenyewe tu kwan sie hatuna macho
Ni za kawaida sana, zinauzwa mia tano, na ubora waks ni wa kawaida tu hata harufu yake pia sio ngeni sana kusikia
Ahahh ahaha binamu zipotezee bhana, siwezi kuona kaka yangu anadhalilishwa kiasi kile halafu na mimi nionyeshe big no, ila kama angependa kufanyiwa vile basi kwa mara ya kwanza ningemtangaza jukwaa zima humu.
Nikikumbuka moyo unaenda kwa kasi sana, ukatili ule unatisha sana
Kipindi cha kipuuzi kinahudhuriwa na wapuuzi na kutazamwa na wapuuzi pia, hivyo basi mpuuzi wa kwanza ni Zitto Kabwe kwa kushiriki kipindi cha kipuuzi na mpumbavu wa pili ni wewe msukule wake kwa kuangalia kipindi cha kipuuzi.
Nilitazama vipindi viwili tu vya kwanza na kugundua kwamba ni cha kipuuzi. Toka hapo sijatazama tena, nimekuachia wewe na wapuuzi wenzako mtazame. Huwa sina muda wa mambo ya kipuuzi, ndivyo nilivyo.
Ova.
lusungo kuna ubuyu njooNa mpuuzi namba moja Zitto Kabwe alikubali kuwa sehemu ya wapuuzi kwa kushiriki kwake.
Ha ha kima utawajua tu wakiona tope...
Utajifariji Sana najua shule huna ndo mana kila ufanyalo unataka kujilinganisha na wasomi ha ha ha ha poor you!!!
Hivi gari kali na majumba makubwa mjini anamiliki domo hadi achukiwe??
Hivi kwa kipi hasa MTU umchukie? Nani kasema hana kitu? Au ubutu wako Wa akili unatafsiri MTU duni ni yule mwenye low income tu? Binafsi sichukii au sijilinganishi na wasanii Kama nyinyi mnavyohangaika kujinasibisha na wasomi...
Mfano Mimi na wengine tunaweza ishi miaka bila kusikiliza mziki Wa kishenzi na maisha yakaendelea ila wote Mimi na hao lower calibers lazima tupate Huduma za wasomi ili tuishi....
Huyo domo kavuma kanikuta Nina maisha yangu na atafifia ataniacha na maisha yangu...
Tabu kwenu akina binamu nyama ya hamu kutwa kuwaza ngono na upuuzi mnaosikiliza kwenye vibaraza vyenu vinavyonuka...
Hao wasomi ndo wanaowagongeeni vinuka chupi wenu tena wanawaendea hadi kwa waganga ili watunzwe hapa mjini...
Sikatai na nipo proud nimeajiriwa na ajira imenifanya niishi standard life bila kuwa affiliated na upuuzi wowote...
Sote tunaweza kuwa na PESA ila si wote tunaweza kwenda shule....
Pole Sana kamwe usifikiri unaweza pata standard ya usomi labda degree za kufunua kaniki kwa waganga....
Siwezi mchukia MTU asonisaidia kitu ila hapa tunatoa description ya jinsi gani wewe na hilo kundi lako mlivyo Duni na mnavyohenyeka kwa maisha yalojaa laana tupu....
Mtoto alokulia malezi ya kukataliwa na baba...alokua Kama uyoga pori....anayeishi kwenye duara la zinaa tu mi nimchukie kwa lipi?
Mbwa alookota mnofu umkimbize wanini wakati unajua hawezi Fanya lolote zaidi ya kula na kunya??
Poor you!!!!