Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Hahaha nimecheka sana daaa jf kuna vituko sana sijui bambo akisoma hapa anajisikia vupi? HahahaSiwezi kushangaa kidoti hata akibanjuliwa na Bambo, huyu binti nilishamdharau siku nyingi shule haijamsaidia lolote.
HakikaWaache vijana wale raha
Hata Mimi nilikuwa siamini sijui nilikuwa namchukulia vipi? Lakini baada ya kuona interview yake na Salama nilijua ni msichana wa aina gani?kidot Ananiangusha sana siku hizi!!!
Issue yake na Diamond nilipoisikia kwa mara ya kwanza, nilibisha sana... I was like, of all people, Kidoti can never be such cheap....Nikajua ni ''Kick'' tu! Mweeh Mweeeeh Mwweeehhh!!!!
Nilichoka alipo-admit!!!
Last edited by a moderator: