Penzi la Jokate na Ommy Dimpozi lafichuka

Kanajifanyaga kajasiriamali ila mali zake anazomiliki hata hazijulikani, wala haijulikani anatembelea usafir gani na sidhan kama kajenga huyu, na yeye aanze kujionyesha tu kama wenzie maana hana jipya ndo wale wale tu

Nasikia siku hizi anaimba viduku.
 
Siwezi kushangaa kidoti hata akibanjuliwa na Bambo, huyu binti nilishamdharau siku nyingi shule haijamsaidia lolote.

kahaba ni kahaba tu awe na masters au std 7
 

tobaaaa...!!!
kumbe nae tupo wangapi?!!!!
 

ameruka stage
 

Aiseee
 
Nimemdharau sana..

Ni aibu kuimba kwaya..Bora uongozi wa Victory Choir St. Peters Parish umtimulie mbali..

Mimi kilicho nifanya nimdharau zaidi ni kutoka na rafiki wa x wake.
 
 
Last edited by a moderator:
Du elimu ni kiongezeo tu cha kuweka cv yako vizuri maana ukichukua akili za kuzaliwa ukachanganya na za dunia ndio ujumlishe na elimu yako Ommy tena du sasa wakiwa na domo na Ommy kweli wanawake wa bongo hatujifahamu
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…