Binmu wewe ndio James?Kwa hyo nijisalimie? Sawa binamu
Lulu madanga yake sio ya sport sport kwa kweli, watu wanasugua gaga walau walale hata na harmorapa hawapati fursa, Lulu anakamatia vibosile tuDada mdogo hata we mwenyewe si unaliona lakin!
LINI WEYE KATIKA KUMBUKUMBU ZAKO UMESIKIA LULU ANA MWANAUME KAPUKU?
ahahhahahhaha wenzie wote maji kupwa maji kujaa!
ila yeye kila siku maji ya chupa,shurti kwa LITA MOJA NET!
ah weyeeeeeeeeeeeee!
Mungu amnusuru si janga jema hiliMahusiano ya mastaa yakivurugika ata sishangai!
Ila hiyo ya Lulu na matunguli niliwai isikia, sidhani kama ni kweli. Si walisema kua kila mwanaume anaelala nae anakufa kwa sababu ya Kanumba na Komba!
Haahhahahaha Daudi sitaki kuamin haya maneno yanatoka kwako umesikiaa wapi?walikuwa mezani wanakula akapaliwa na chakula ndipo akatapika boonge la hirizi linahema, inasemekana lakini.
Alieweka hizo anakuzidi umbea mi sijawah ziona binamAhsante kwa kunifuatilia binamu, wewe sio mtu wa sport sport
Hata mi nacheka ,we hutachekaa?Kama ni kweli Hamisa anaweza kuwa anacheka hadi utumbo unaonekanika mda huu
shoga kuna clip nimezikuta hukooo mtaa wa mily natamani kuweka Ila nashindwaaKama ni kweli Hamisa anaweza kuwa anacheka hadi utumbo unaonekanika mda huu
AHAHAHAHHAHAHA binamuuuuuu!Lulu madanga yake sio ya sport sport kwa kweli, watu wanasugua gaga walau walale hata na harmorapa hawapati fursa, Lulu anakamatia vibosile tu
daaadeck motto kashageuza chezo!shoga kuna clip nimezikuta hukooo mtaa wa mily natamani kuweka Ila nashindwaa
mume mwenyewe unajishebedua nae kwenye kioo cha kunyolea nyusi bafuni!Walivyokua wanajishaua sisi mapacha nyokonyoko kiko wapi sasa?, mwanaume wa kujishebedua nae ni mume wako tu wa ndoa sio madanga, mxieeee ndo akome
sio kitu ya kuulizaKama ni kweli Hamisa anaweza kuwa anacheka hadi utumbo unaonekanika mda huu
Eeh!atoe tuone maana hili tena ni pipa siyo jungu.Acha maneno toa hirizi