Penzi la Lulu, Majizzo chalii..

Penzi la Lulu, Majizzo chalii..

Dada mdogo hata we mwenyewe si unaliona lakin!
LINI WEYE KATIKA KUMBUKUMBU ZAKO UMESIKIA LULU ANA MWANAUME KAPUKU?
ahahhahahhaha wenzie wote maji kupwa maji kujaa!
ila yeye kila siku maji ya chupa,shurti kwa LITA MOJA NET!
ah weyeeeeeeeeeeeee!
Lulu madanga yake sio ya sport sport kwa kweli, watu wanasugua gaga walau walale hata na harmorapa hawapati fursa, Lulu anakamatia vibosile tu
 
tehe tehe tehe kweli jf kuzuri, asante
Walivyokua wanajishaua sisi mapacha nyokonyoko kiko wapi sasa?, mwanaume wa kujishebedua nae ni mume wako tu wa ndoa sio madanga, mxieeee ndo akome
 
Mahusiano ya mastaa yakivurugika ata sishangai!
Ila hiyo ya Lulu na matunguli niliwai isikia, sidhani kama ni kweli. Si walisema kua kila mwanaume anaelala nae anakufa kwa sababu ya Kanumba na Komba!
Mungu amnusuru si janga jema hili
 
Duuuuh Kama ni kweli basi Mungu atuepushe na hawa Wadada wa Mjini

Mtotot mzuri vile kumbe kachawiiiiii pambafuuuuuu zake kabisa
 
Lulu madanga yake sio ya sport sport kwa kweli, watu wanasugua gaga walau walale hata na harmorapa hawapati fursa, Lulu anakamatia vibosile tu
AHAHAHAHHAHAHA binamuuuuuu!
hawampati harmo waaaaaaaaaaaaaaaat?
 
Walivyokua wanajishaua sisi mapacha nyokonyoko kiko wapi sasa?, mwanaume wa kujishebedua nae ni mume wako tu wa ndoa sio madanga, mxieeee ndo akome
mume mwenyewe unajishebedua nae kwenye kioo cha kunyolea nyusi bafuni!
itakuwa danga?
danga kabisa hili la kuwarusha roho watu insta?
 
Back
Top Bottom