Penzi la Lulu, Majizzo chalii..

sasa nyie kwani lulu mlijua sku zote apate mabwana wenye pesa tu ye K yake ina signature ya Balali au kitu gani?
AHAHAHHAHAHAHHAHAHHAHA
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
kuna mtu alikuja humu nakusema majizo akitoka tu anampiga chini lulu naona kama kuna kaukweli hivi...
 
inasemakana eti amedakwa na hirizi inahema,

wanawake wa mjini mmekuwa wachawi sana kuliko hata wabibi wa kijijini
Wasichana wa mjini ukimtongoza akiwa na uhakika uko vizuri yani maisha yako sawa anakujibu subiri ntakunjibu anakuendea siku hiyohiyo anakojua kukuangalia kama unaingilika akigundua unaingilika basi anakujibu fasta maana anakuwa amepewa mbinu za kukuteka mapema, hili ni tatizo kubwa sana.
 

unakuta binti chawi utadhani ndiyo liganga lenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…