Penzi la Lulu, Majizzo chalii..

Penzi la Lulu, Majizzo chalii..

d48eb6e82a4a99e724721141c26739ed.jpg
ad8ca981278899f4887fb588d17aa0db.jpg
Dahhh! japo amejitaja mwanaume lakini huo si mwandiko wa kiume,
Nina wasiwasi aiseeee msomi wa sociology huyo,[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
sasa nyie kwani lulu mlijua sku zote apate mabwana wenye pesa tu ye K yake ina signature ya Balali au kitu gani?
AHAHAHHAHAHAHHAHAHHAHA
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Lile penzi mubashara kati ya staa wa filamu nchini, Lulu Michael na Mkurugenzi wa E-fm maarufu kama Majizo, linadaiwa kuingia kidudu mtu.

Za kunyapia nyapia zinadai eti bibie huyo anatuhumiwa kujihusisha na imani za kishirikina. Hata hivyo chanzo kamili cha wawili hao kuwa katika hali ya sintofahamu bado hakijajulikana ila wawili hao sasa hivi hawakai zizi moja kama zamani.
kuna mtu alikuja humu nakusema majizo akitoka tu anampiga chini lulu naona kama kuna kaukweli hivi...
 
inasemakana eti amedakwa na hirizi inahema,

wanawake wa mjini mmekuwa wachawi sana kuliko hata wabibi wa kijijini
Wasichana wa mjini ukimtongoza akiwa na uhakika uko vizuri yani maisha yako sawa anakujibu subiri ntakunjibu anakuendea siku hiyohiyo anakojua kukuangalia kama unaingilika akigundua unaingilika basi anakujibu fasta maana anakuwa amepewa mbinu za kukuteka mapema, hili ni tatizo kubwa sana.
 
unakuta binti chawi utadhani ndiyo liganga lenyewe
 
Back
Top Bottom