Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,461
- 35,218
Hahahah hapo sasa aiseeDuh Jf bana siasan wanamtegemea mange huku napo wanamtegemea nifah,akileta za wcb mnampa madongo mpaka anakula ban
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah hapo sasa aiseeDuh Jf bana siasan wanamtegemea mange huku napo wanamtegemea nifah,akileta za wcb mnampa madongo mpaka anakula ban
[emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]bonge la hirizi na akalichukua akalirudisha mdomoni akalimeza tena kwa madai mganga kamwambia akiitupa atakufa.
Dahhh! japo amejitaja mwanaume lakini huo si mwandiko wa kiume,
Amebaki Le mutuz zamu yake you know[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]lulu ananyota mbaya so ukitoka na lulu kama hujafa police watakusumbua sana inabidi akaoge maji ya bahari katikati kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23]Hhahahahha mkuu warumi natamani niijue gender yako aiseee!!! umemshinda hadi soud brown kwa umbea
Anapiga umbea wa ki Weber, Comte, akina Durkhein na Parsons [emoji23][emoji23][emoji23] Nakuona scholar... Field inaruhusu
Katetesi ka ushirikina kanazidi kukuasasa nyie kwani lulu mlijua sku zote apate mabwana wenye pesa tu ye K yake ina signature ya Balali au kitu gani?
AHAHAHHAHAHAHHAHAHHAkanazidiHA
Ila huyu hana nyota ya kudumu na mwanaume kabisaaa.... Ana nyota ya ujane [emoji23][emoji23][emoji23] sahivi naona kaongeza nyingine ya ushirikina[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Naomba picha ya hirizi ha ha make sio kwa kusimulia huku ka ulikuwepo lolbonge la hirizi na akalichukua akalirudisha mdomoni akalimeza tena kwa madai mganga kamwambia akiitupa atakufa.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]sasa nyie kwani lulu mlijua sku zote apate mabwana wenye pesa tu ye K yake ina signature ya Balali au kitu gani?
AHAHAHHAHAHAHHAHAHHAHA
[emoji23][emoji23][emoji23]Naomba picha ya hirizi ha ha make sio kwa kusimulia huku ka ulikuwepo lol
kuna mtu alikuja humu nakusema majizo akitoka tu anampiga chini lulu naona kama kuna kaukweli hivi...Lile penzi mubashara kati ya staa wa filamu nchini, Lulu Michael na Mkurugenzi wa E-fm maarufu kama Majizo, linadaiwa kuingia kidudu mtu.
Za kunyapia nyapia zinadai eti bibie huyo anatuhumiwa kujihusisha na imani za kishirikina. Hata hivyo chanzo kamili cha wawili hao kuwa katika hali ya sintofahamu bado hakijajulikana ila wawili hao sasa hivi hawakai zizi moja kama zamani.
comment yako inaniachaga hoi OhoooOhooooo!!!
Jamaa unaua vibaya, daaah.walikuwa mezani wanakula akapaliwa na chakula ndipo akatapika boonge la hirizi linahema, inasemekana lakini.
😀😀😀bonge la hirizi na akalichukua akalirudisha mdomoni akalimeza tena kwa madai mganga kamwambia akiitupa atakufa.
Wasichana wa mjini ukimtongoza akiwa na uhakika uko vizuri yani maisha yako sawa anakujibu subiri ntakunjibu anakuendea siku hiyohiyo anakojua kukuangalia kama unaingilika akigundua unaingilika basi anakujibu fasta maana anakuwa amepewa mbinu za kukuteka mapema, hili ni tatizo kubwa sana.inasemakana eti amedakwa na hirizi inahema,
wanawake wa mjini mmekuwa wachawi sana kuliko hata wabibi wa kijijini
Naomba picha ya hirizi ha ha make sio kwa kusimulia huku ka ulikuwepo lol
Wasichana wa mjini ukimtongoza akiwa na uhakika uko vizuri yani maisha yako sawa anakujibu subiri ntakunjibu anakuendea siku hiyohiyo anakojua kukuangalia kama unaingilika akigundua unaingilika basi anakujibu fasta maana anakuwa amepewa mbinu za kukuteka mapema, hili ni tatizo kubwa sana.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]hirizi hii hapa