Ila anajifanyaga ye mlokole, hardworking (ingawa hatujaonaga wapi anafanya kazi), na kutwa kushauri wenzie. Kumbe ye yake yanaenda kwa msaada wa shuntama.lazima aroge maana anapenda high life,hana kazi ataishije na yeye ndo mama wa familia
Si aliimeza umeipata wapi?hirizi hii hapa
Makubwa kumbe kuna hirizi za kuswallow.walikuwa mezani wanakula akapaliwa na chakula ndipo akatapika boonge la hirizi linahema, inasemekana lakini.
Anarusha vijembe Snapchat hatariii[emoji28][emoji28]kama vile namuona kidomo alivo furahi madem vigagula nuksi
Kabisaaa anajua ndumba sana[emoji13] [emoji13] jiulize bila uchawi angekua nje mpaka Leo?!!
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]bonge la hirizi na akalichukua akalirudisha mdomoni akalimeza tena kwa madai mganga kamwambia akiitupa atakufa.
Daudi, na wewe haya mambo ya "ubuyu" huwa unayajuaga?walikuwa mezani wanakula akapaliwa na chakula ndipo akatapika boonge la hirizi linahema, inasemekana lakini.
Bado aje afunike starletle mutuz anameza heroin kete 30 sembuse lulu kumeza haka kahirizi kamoja
Wewe binamu, usiniambie? Nakumbuka lulu aliwahi kuchambana na mtu kule insta issue ya majizo,mtu alimwambia kuwa wanauza madawa,lulu akasema ndio kwan ina maana mpaka wateja wao wanamkana? Nadhani ile point ilikua sio nzuri hata kama ilikua utaniMbona nasikia Lulu ndo kamchoma mpenzi wake kwenye sakata la unga. Alipoachiwa ndo akaamua kumbwaga na kurudi kwa Hamisa Mobeto aliyezaa naye.
Kweli ila huyu mtoto kwa komba kapona grid ya taifa kweli maana. Asilimia kubwa wanawake hawana maamuz kutumiaa kifaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Siku hizi hamposti lastly was January kumposti