Penzi la Lulu, Majizzo chalii..

Warimu et yule video queen anayeonekana saaaana kwny kila video ya bongo flava anaitwa nani?
Anaonekana vizuri kwny nyimbo ya Roma mpya "msimsahau mchizi" mwanzoni hivi,anapuliza mivuke kwa hewa.Jina lake plz
 
Mmmh kwa kupata vibosile wale kila mtu angeenda kumuuliza mganga wake na yeye aende.
Lulu na hili litapita dogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…