Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀😀😀Kesho ntasema Nina PhD, huyu warumi wa Jf mwacheni JF tu
inasemakana eti amedakwa na hirizi inahema,
wanawake wa mjini mmekuwa wachawi sana kuliko hata wabibi wa kijijini
Nimekuambia uachane nao kwani walipoanza ulileta uzi humu?Kama wewe hupendi umbea kimekulete nn humu, ebu nipishe
Le mutuz Mzee wa with.Amebaki Le mutuz zamu yake you know[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
ukiwa rafiki na Muna utajifunza ushirikina tukhaaaa mama shikana na ushirikina haiwezekani, ngoja niingie kutafuta details
tehe tehe tehe khaaaaa kwa hiyo na aliyokuwa anasema madam ni kweli kumbeukiwa rafiki na Muna utajifunza ushirikina tu
ah mi nashangaa watu wanavoshangaa!Mwenzangu sio kwa madanga wadosi aiseeh, kumbe hirizi inahusika,wacha movie iendelee
Dada mdogo hata we mwenyewe si unaliona lakin!Hahahahahq dada mkubwa umetisha
pigia mstari,tehe tehe tehe khaaaaa kwa hiyo na aliyokuwa anasema madam ni kweli kumbe
tehe tehe tehe kweli jf kuzuri, asantepigia mstari,
tehe tehe tehe mjini kuna mamboKama ni kweli Hamisa anaweza kuwa anacheka hadi utumbo unaonekanika mda huu
Ohooooo!!!warumi eee msalimie delicious.
Mwenzangu yani ni mambo ya adui muombee njaatehe tehe tehe mjini kuna mambo