Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we mimba aitoe wapiiii !Ndo nilikua nashangaa, mara nkaskia ana mimba,hizi kiki za mitandaoni hizi mmh
Ngoja nikusaidieshoga kuna clip nimezikuta hukooo mtaa wa mily natamani kuweka Ila nashindwaa
unaanza kula *white*hapana aisee, hawa wadada wa mjini wamezidi uchawi,
ole wake nimadake mrembo ana wanga usiku maeneo ya nyumba yangu.
POA SOONMbona hiyo bonus ipo robo weka nzima
Mbona hiyo bonus ipo robo weka nzima
Hahahaaa!Mjini raha sanaaaa hatuhami ng'oooooooooo oooh mama G na baba G kama wamepigana chini noma sanaaa
Kwa hyo nijisalimie? Sawa binamu