Penzi la Lulu, Majizzo chalii..

Penzi la Lulu, Majizzo chalii..

mume mwenyewe unajishebedua nae kwenye kioo cha kunyolea nyusi bafuni!
itakuwa danga?
danga kabisa hili la kuwarusha roho watu insta?
Ndo nilikua nashangaa, mara nkaskia ana mimba,hizi kiki za mitandaoni hizi mmh
 
Dah!! Kwenye clip nimekuwa excited na yule yupo beach
 
Mkuu achana na habari za Lulu, tupia hyo bonus mkuu hyo ndo habari yenyewe si unajua tena sie "wapiga dili" ndo sehemu zetu tunapojengeaga maghorofa yetu..
 
Mwenzi kidot kakataliwa
Mpaka na mama mkwe
Na akakubali amepga tu kmy

Yy n kuangaika na matungir tu
Na ule ufup kama kitunguu
 
Kwani kuliwahi kuwa na tuhuma humu kwamba ana date na mbunge fulani kuna ukweli wowote wakuu?
 
Back
Top Bottom