Penzi la Lulu na majizzo 'matatani'

Penzi la Lulu na majizzo 'matatani'

lulu ana uzuri gani mtu hawi mrefu mpaka avae high heels
anakomwe kile kichwa akitaka kujifunga ushungi labda atumie shuka la futi 6 kwa sita
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hakyanani huyu mtu jamani khaa
 
Nilikaona juzi supermarket kapo na mama yake kananunua pombe tu,nilishangaa kuona kitoto kina nunua mi pombe ,vijana wakaniambi ni ki lulu hicho mh nikasema ndio mdudu gani huyo lulu? Nikaambiwa ni movie super ster
Haa haa haa...yaani ni kalevi balaa, mlimani city kila weekend kanaenda na maza ake kubeba contena la Ulabu...
 
zile za IG huwezi muona akirudia

Siku akivaa ya kurudua hapigi picha.
Yeah ukweli mtupu, halafu zile nguo sio zake! Ni za mafundi cherehani wanampa azivae atupie insta, akiulizwa umependeza lulu jamani hilo gauni umenunua wapi ndo anawarusha hao Fundi cherehani wake[emoji16] [emoji16] [emoji16] ...ila wanamtoa juu kwa juu , sio buree....mjini hapa
 
Wanawake mnavyotokwa povu humu utafikiri nyie malaika, mbona kawaida sana haya?
Wengine wana haiba ya Joyce kiria kitambo sanaaa, wengine ndo mmeambiwa juzi
 
Haa haa haa...yaani ni kalevi balaa, mlimani city kila weekend kanaenda na maza ake kubeba contena la Ulabu...
Alisema kaacha kabisa na Mama yake nasikia ameokoka[emoji23]
Ila jamani, mmeshaambiwa hizo ni Tetesi Nyie mnachukulia kama keshaachwa kweli[emoji50].... umbeya huwa upo hivii, its either kweli, inakaribiana na ukweli, au uongo inakaribiana na uongo!
 
Zile bia anazonunuaga the game, anawekaga kwenye friji ili wageni wajilipue[emoji16] [emoji16] [emoji16]...ha ha ha kanakunywa mpaka kanasizi kaone vile vile [emoji99] [emoji99] [emoji99] [emoji99] .....bado wako wote bana hivi lulu wa kuachwa? Pale mwanaume ukijiweka huachi hadi ufe![emoji40] [emoji40]
 
Habari zinazoenea kwa kasi chini ya kapeti kuhusu staa wa filamu nchini, Elizabeth michael aka Lulu hivi karibuni kushushiwa kipigo "heavy" na mpenzi wa sasa ambaye pia ni mmliki wa radio maarufu mjini, Efm aitwaye majizo. Inasemekana staa huyo amekua akichepuka kwa siri na watu tofuati tofauti ambapo ikafikia hatua mpaka sponsor wake huyo kugundua na kumshushia kipigo cha mwizi kwenye hotel maarufu mjini(jina kapuni) ambapo wawili hao walienda kula bata.

Hata hivyo inasemekana majizzo amekua akipokea shutuma mbali mbali kuhusu baby wake huyo kuwa anachepuka na watu tofauti tofauti bila yeye kujua, lakini kijana huyo mwenye pesa chafu amekua akifumbia macho tuhuma hizo na kudai kuwa ni njama tu za maadui zao za kutaka kuwachonganisha waachane. Inasemekana Lulu kwa sasa anachepuka na rafiki wa karibu wa majizo( jina kampuni) ambaye inasemekana anafanya kazi BOT ambaye inasemekana Ana pesa chafu kumzidi kijana hyo.
 
Zile bia anazonunuaga the game, anawekaga kwenye friji ili wageni wajilipue[emoji16] [emoji16] [emoji16]...ha ha ha kanakunywa mpaka kanasizi kaone vile vile [emoji99] [emoji99] [emoji99] [emoji99] .....bado wako wote bana hivi lulu wa kuachwa? Pale mwanaume ukijiweka huachi hadi ufe![emoji40] [emoji40]
Baba G pale kafikaa... 'kifo' ndio kitawatenganisha[emoji38]
 
Ss sijui unapikuwa na mpenzi mrembo kama Lulu kwa ulimbukeni wako unataka amilikiwe na mtu ninja yaani ule kuku wa kienyeji peke yako ni kitu kisichowezekana na kama pesa chafu ipo lazima ule kitu roho inapenda, ukitaka kummiliki chukua Moja kwa Moja kama wife watamheshimu lakini kama tunaye mtaani hapo ngumu!
 
Zile bia anazonunuaga the game, anawekaga kwenye friji ili wageni wajilipue[emoji16] [emoji16] [emoji16]...ha ha ha kanakunywa mpaka kanasizi kaone vile vile [emoji99] [emoji99] [emoji99] [emoji99] .....bado wako wote bana hivi lulu wa kuachwa? Pale mwanaume ukijiweka huachi hadi ufe![emoji40] [emoji40]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Eeh watu wamevurugwa sio kwa kichambo hiki, Lulu akisikia huko alipo lazima apate tetemeko la moyo kama sio kupatwa kwa pressure
bado hao watu waaage dunia hivi karibuni maana huyo binti nasikia akilamba anawalaza chini
 
Baba G pale kafikaa... 'kifo' ndio kitawatenganisha[emoji38]
Ila wanaume wana roho ngumu paka kasingiziwa, chaaaaa....yaani we kabisa umeshuhudia sio kusikia waliomla wote wamevuta tena kila mtu kwa wakati wake na vifo vyao ni vya ghafla ( kasoro Alikiba, cjui ana hirizi nisife[emoji16] [emoji16] [emoji16] )...bado tu mwanaume mwingine unajiweka tu pale?!...kweli K ni kiboko ya Lib0r0...
 
Back
Top Bottom