Penzi la Lulu na majizzo 'matatani'

Penzi la Lulu na majizzo 'matatani'

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vitoto vya certificate zoom polytechnical...

wamama wa nyumbani....

visichana vyo hovyo hovyo!!
Na kweli asee...sizani ka mtu mwenye akili timamu utasifia uchafu ule....
 
wote wa kawaida aisee ama unambie wote ni wazuri............. huyu hamisa na huyu lulu make up ndo zinawabeba
Inawezekana maana siku hizi humu mwenye mitandao kuna mengi mafoto shop na mafilter mtu hata kama alikua mweusi kama chungu lakini humu mtandaoni anaonekana kama malaika.
 
Inawezekana maana siku hizi humu mwenye mitandao kuna mengi mafoto shop na mafilter mtu hata kama alikua mweusi kama chungu lakini humu mtandaoni anaonekana kama malaika.
wote walikuwa weusi ngoja nikutafutie picha ya mabeto
 
Inawezekana jamaa bahili demu kaamua kujiongeza dada zetu warembo usipo wahudumia vizur lazima wawe na mafiga matatu kadri wanavo jifanya ma star ndo ugumu wa maisha unazid coz hawako real wanaishi kimaigizo na wanapata ma bwana wa maigizo pia coz wao pasua kichwa.
 
wote walikuwa weusi ngoja nikutafutie picha ya mabeto
Tehetehetehe,dah! kumbe watu tunashabikia mabadiliko ya ukubwani,kweli kukiwa na pesa hakuna mtu mbaya,hebu zimwage hizo picha tujionee hao warembo wa sasa walivyokuwa enzi zao.
 
Kajala-Masanja.jpg
Tehetehetehe,dah! kumbe watu tunashabikia mabadiliko ya ukubwani,kweli kukiwa na pesa hakuna mtu mbaya,hebu zimwage hizo picha tujionee hao warembo wa sasa walivyokuwa enzi zao.
kweli huku nyuma hakuwa hivi alikuwa na rangi ya brown...................
lulu naye kama hamisa
nimepata moja ngoja naendelea kukusakia nambie huyu nani na sasa yukoje.
 
kweli huku nyuma hakuwa hivi alikuwa na rangi ya brown...................
Ukweli kati ya mademu maarufu ambao hawajajikoboa kwa hilo lulu nampongeza, nakajua toka kako form one pale perfect vision hadi sasa hivi, lulu keupe upe flani hivi amazing!...na hadi sasa hivi hajajikoboa sema kujiedit ka mdoli kwenye mitandao...
 
Habari zinazoenea kwa kasi chini ya kapeti kuhusu staa wa filamu nchini, Elizabeth michael aka Lulu hivi karibuni kushushiwa kipigo "heavy" na mpenzi wa sasa ambaye pia ni mmliki wa radio maarufu mjini, Efm aitwaye majizo. Inasemekana staa huyo amekua akichepuka kwa siri na watu tofuati tofauti ambapo ikafikia hatua mpaka sponsor wake huyo kugundua na kumshushia kipigo cha mwizi kwenye hotel maarufu mjini(jina kapuni) ambapo wawili hao walienda kula bata.

Hata hivyo inasemekana majizzo amekua akipokea shutuma mbali mbali kuhusu baby wake huyo kuwa anachepuka na watu tofauti tofauti bila yeye kujua, lakini kijana huyo mwenye pesa chafu amekua akifumbia macho tuhuma hizo na kudai kuwa ni njama tu za maadui zao za kutaka kuwachonganisha waachane. Inasemekana Lulu kwa sasa anachepuka na rafiki wa karibu wa majizo( jina kampuni) ambaye inasemekana anafanya kazi BOT ambaye inasemekana Ana pesa chafu kumzidi kijana hyo.
huyo mtoto ameanza kuchezea tango mapema sana na ndio madhara yake hayo sasa
 
Back
Top Bottom