Penzi la Lulu na majizzo 'matatani'

Penzi la Lulu na majizzo 'matatani'

Maji hufuata mkondo, mama yake alikuwa kicheche, kampata Lulu kwenye ukicheche tena na mme wa mtu, tokea lini mbwa akazaa paka ?
 
aliniblock nadhani sijafuatilia ana nini fala yule?
yaah!halafu mie sikujua km nimeblockiwa mpk Siku hyo nataka nikaangalie mshono kwake nakuta manyoya....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

nkajua nshakula solex!!.

simfuatilii tena mie!
 
Kizuri bana sema kimalaya halafu kilevi mbwa na misafari lager yake...nilikuwa natafuta madesa perfect vision nakikuta pale...kazi kumgombania huyo mzee KADEGE ( mwenye shule)...mxiuuuuu
Si aliacha pembe tokea A kutwe na miasma wa Kanumba?
 
hivi hajajenga ghorofa tu maana ana bahati na watu wenye hela sio sisi tunagegedwa bure
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ataishia kuturusha roho na nguo za kwa eve collection may b na nyumba kama za kwetu Sie....
 
Habari zinazoenea kwa kasi chini ya kapeti kuhusu staa wa filamu nchini, Elizabeth michael aka Lulu hivi karibuni kushushiwa kipigo "heavy" na mpenzi wa sasa ambaye pia ni mmliki wa radio maarufu mjini, Efm aitwaye majizo. Inasemekana staa huyo amekua akichepuka kwa siri na watu tofuati tofauti ambapo ikafikia hatua mpaka sponsor wake huyo kugundua na kumshushia kipigo cha mwizi kwenye hotel maarufu mjini(jina kapuni) ambapo wawili hao walienda kula bata.

Hata hivyo inasemekana majizzo amekua akipokea shutuma mbali mbali kuhusu baby wake huyo kuwa anachepuka na watu tofauti tofauti bila yeye kujua, lakini kijana huyo mwenye pesa chafu amekua akifumbia macho tuhuma hizo na kudai kuwa ni njama tu za maadui zao za kutaka kuwachonganisha waachane. Inasemekana Lulu kwa sasa anachepuka na rafiki wa karibu wa majizo( jina kampuni) ambaye inasemekana anafanya kazi BOT ambaye inasemekana Ana pesa chafu kumzidi kijana hyo.
Cc Nifah
I miss u,
 
Kizuri bana sema kimalaya halafu kilevi mbwa na misafari lager yake...nilikuwa natafuta madesa perfect vision nakikuta pale...kazi kumgombania huyo mzee KADEGE ( mwenye shule)...mxiuuuuu
kumbe kiko fiti. kinashusha safari!
 
Si aliacha pembe tokea A kutwe na miasma wa Kanumba?
aahhh!wapi....ataacha ndumba wakati ndo kafunga nazo mkataba

kirahisi rahisi kesi ya mauaji imezimwa km wizi wa kuku

asikufanganye na zile nyimbo za injili
mchawi tu yule
 
yaah!halafu mie sikujua km nimeblockiwa mpk Siku hyo nataka nikaangalie mshono kwake nakuta manyoya....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

nkajua nshakula solex!!.

simfuatilii tena mie!
Aaah umenivunja mbavu, muombe aku unblock
 
Back
Top Bottom