[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hakyanani huyu mtu jamani khaalulu ana uzuri gani mtu hawi mrefu mpaka avae high heels
anakomwe kile kichwa akitaka kujifunga ushungi labda atumie shuka la futi 6 kwa sita
We za kwako safi? Kazana uwe nazo chafu[emoji23] [emoji23]Eti pesa chafu!!!!
Haa haa haa...yaani ni kalevi balaa, mlimani city kila weekend kanaenda na maza ake kubeba contena la Ulabu...Nilikaona juzi supermarket kapo na mama yake kananunua pombe tu,nilishangaa kuona kitoto kina nunua mi pombe ,vijana wakaniambi ni ki lulu hicho mh nikasema ndio mdudu gani huyo lulu? Nikaambiwa ni movie super ster
Yeah ukweli mtupu, halafu zile nguo sio zake! Ni za mafundi cherehani wanampa azivae atupie insta, akiulizwa umependeza lulu jamani hilo gauni umenunua wapi ndo anawarusha hao Fundi cherehani wake[emoji16] [emoji16] [emoji16] ...ila wanamtoa juu kwa juu , sio buree....mjini hapazile za IG huwezi muona akirudia
Siku akivaa ya kurudua hapigi picha.
Alisema kaacha kabisa na Mama yake nasikia ameokoka[emoji23]Haa haa haa...yaani ni kalevi balaa, mlimani city kila weekend kanaenda na maza ake kubeba contena la Ulabu...
Zile bia anazonunuaga the game, anawekaga kwenye friji ili wageni wajilipue[emoji16] [emoji16] [emoji16]...ha ha ha kanakunywa mpaka kanasizi kaone vile vile [emoji99] [emoji99] [emoji99] [emoji99] .....bado wako wote bana hivi lulu wa kuachwa? Pale mwanaume ukijiweka huachi hadi ufe![emoji40] [emoji40]Alisema kaacha kabisa na Mama yake nasikia ameokoka[emoji23]
Ila jamani, mmeshaambiwa hizo ni Tetesi Nyie mnachukulia kama keshaachwa kweli[emoji50].... umbeya huwa upo hivii, its either kweli, inakaribiana na ukweli, au uongo inakaribiana na uongo!
Habari zinazoenea kwa kasi chini ya kapeti kuhusu staa wa filamu nchini, Elizabeth michael aka Lulu hivi karibuni kushushiwa kipigo "heavy" na mpenzi wa sasa ambaye pia ni mmliki wa radio maarufu mjini, Efm aitwaye majizo. Inasemekana staa huyo amekua akichepuka kwa siri na watu tofuati tofauti ambapo ikafikia hatua mpaka sponsor wake huyo kugundua na kumshushia kipigo cha mwizi kwenye hotel maarufu mjini(jina kapuni) ambapo wawili hao walienda kula bata.
Hata hivyo inasemekana majizzo amekua akipokea shutuma mbali mbali kuhusu baby wake huyo kuwa anachepuka na watu tofauti tofauti bila yeye kujua, lakini kijana huyo mwenye pesa chafu amekua akifumbia macho tuhuma hizo na kudai kuwa ni njama tu za maadui zao za kutaka kuwachonganisha waachane. Inasemekana Lulu kwa sasa anachepuka na rafiki wa karibu wa majizo( jina kampuni) ambaye inasemekana anafanya kazi BOT ambaye inasemekana Ana pesa chafu kumzidi kijana hyo.
Baba G pale kafikaa... 'kifo' ndio kitawatenganisha[emoji38]Zile bia anazonunuaga the game, anawekaga kwenye friji ili wageni wajilipue[emoji16] [emoji16] [emoji16]...ha ha ha kanakunywa mpaka kanasizi kaone vile vile [emoji99] [emoji99] [emoji99] [emoji99] .....bado wako wote bana hivi lulu wa kuachwa? Pale mwanaume ukijiweka huachi hadi ufe![emoji40] [emoji40]
anasuuza runguWe za kwako safi? Kazana uwe nazo chafu[emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Zile bia anazonunuaga the game, anawekaga kwenye friji ili wageni wajilipue[emoji16] [emoji16] [emoji16]...ha ha ha kanakunywa mpaka kanasizi kaone vile vile [emoji99] [emoji99] [emoji99] [emoji99] .....bado wako wote bana hivi lulu wa kuachwa? Pale mwanaume ukijiweka huachi hadi ufe![emoji40] [emoji40]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] atafute ziwe chafu ndo asuuze vizuri sasaanasuuza rungu
kumbe siku hizi umeamia huku kupata umbea wa masupastaa hahahahaaaaaaweka pich yako tukuone basi...
bado hao watu waaage dunia hivi karibuni maana huyo binti nasikia akilamba anawalaza chiniEeh watu wamevurugwa sio kwa kichambo hiki, Lulu akisikia huko alipo lazima apate tetemeko la moyo kama sio kupatwa kwa pressure
Asee angekuwa dadaangu ningehama mji!!Tatizo la haka katoto kameanza kuparamiwa mapema sana matokeo yake kamekubuhu
Ila wanaume wana roho ngumu paka kasingiziwa, chaaaaa....yaani we kabisa umeshuhudia sio kusikia waliomla wote wamevuta tena kila mtu kwa wakati wake na vifo vyao ni vya ghafla ( kasoro Alikiba, cjui ana hirizi nisife[emoji16] [emoji16] [emoji16] )...bado tu mwanaume mwingine unajiweka tu pale?!...kweli K ni kiboko ya Lib0r0...Baba G pale kafikaa... 'kifo' ndio kitawatenganisha[emoji38]