Penzi la Mzee Ngowi na mkewe ni funzo kubwa kwetu

Penzi la Mzee Ngowi na mkewe ni funzo kubwa kwetu

Darasa halifagiliwi au kudekiwa madawati hayasafishwi wala maandishi kufutika kutokana na dawati kushikwashikwa 😅🤣 Ngowi anatisha
Yaani miaka 40 shule haijawahi kutengeneza madawati mapya wala hayo ya zamani hayajawahi kuharibika😂😂
Wanafunzi na walimu wa hiyo shule wananidhamu ya kiwango cha mbinguni🤣
 
Back
Top Bottom