Penzi la Prezzo na Wema Sepetu lazua utata


Jamaa anatafuta kick..Diamond atemane naye tu.....mimi ni mfuatiliaji wa michezo ya citizen tv......kwenye mchezo wa Papa Shirandula..kuna kipande Awinja na mwenzake walikuwa wanacheza na kuimba NGOLOLO...then kwenye inspekta Mwala..kuna kipande msela mmoja alicheza yupo tungi barabarani anaimba....NATAKA KULEWA.

Pia inawezekana amesikia Diamona kuwa nominated kwa awards kadhaa za kimataifa...so anataka kumtoa kwenye mstari.
 
Hapana msupaa......huyu njamaa wa Kawangare amezindi...njamaa ako na ndomo kama pindo ya sisal mbag.....

jf kuna kila aina ya viroja yan hapa navumilia kucheka nipo kwenye daladala machoz v yanatiririka
 
jf kuna kila aina ya viroja yan hapa navumilia kucheka nipo kwenye daladala machoz v yanatiririka

Vumilia tu binamu maana humu kuna kila aina ya vichaa , usipocheka basi ukapime
 
Mmh maaana wale hata hawaelewek , nasikia ndomo kaenda kufanya video uko , kama anapakua atakuwa anafaid maana ommy ana mi hipsi hatar na ngoz nyororo sijui anatumia kipodoz gan

Hahahahahahaaa jman mbav zangu mm lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…