FYATU
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 5,567
- 4,683
Ulimbukeni unamsumbua.....wote wamekutana mindomo hiyoooo
Hapana msupaa......huyu njamaa wa Kawangare amezindi...njamaa ako na ndomo kama pindo ya sisal mbag.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulimbukeni unamsumbua.....wote wamekutana mindomo hiyoooo
Kwa apa wacha tu nimtetee ndomo , ndomo ni habar nyingine kwa huyo prezzoo , labda tu yeye prezzo msomi na amekulia kwenye maisha bora na ana maisha mazuri , but when it comes kwenye suala la mashabiki ndomo anao wengi had uko kwao Kenya wanamkubal ndomo kuliko yeye
Me Naogopa!
Hako ka blog ni kapi jameni nami nkasome umbea?
Na mimi ukikapata ntajieeee
Naona binamu anabana, sijui anataka kufaudu mwenyewe
Ahsante...Jama nimependa picha zako aisee
Itakuwa zile zangu za uingereza...Picha zipi alizonazo Evelyn Salt
Mambo si ndo haya, wabeja sana....Nifuate PM ctak kuwapa wat promo za bure
Hapana msupaa......huyu njamaa wa Kawangare amezindi...njamaa ako na ndomo kama pindo ya sisal mbag.....
Vumilia tu binamu maana humu kuna kila aina ya vichaa , usipocheka basi ukapime
Itakuwa zile zangu za uingereza...
Mmh maaana wale hata hawaelewek , nasikia ndomo kaenda kufanya video uko , kama anapakua atakuwa anafaid maana ommy ana mi hipsi hatar na ngoz nyororo sijui anatumia kipodoz gan