Penzi la Prezzo na Wema Sepetu lazua utata

Penzi la Prezzo na Wema Sepetu lazua utata

Kwa apa wacha tu nimtetee ndomo , ndomo ni habar nyingine kwa huyo prezzoo , labda tu yeye prezzo msomi na amekulia kwenye maisha bora na ana maisha mazuri , but when it comes kwenye suala la mashabiki ndomo anao wengi had uko kwao Kenya wanamkubal ndomo kuliko yeye

Jamaa anatafuta kick..Diamond atemane naye tu.....mimi ni mfuatiliaji wa michezo ya citizen tv......kwenye mchezo wa Papa Shirandula..kuna kipande Awinja na mwenzake walikuwa wanacheza na kuimba NGOLOLO...then kwenye inspekta Mwala..kuna kipande msela mmoja alicheza yupo tungi barabarani anaimba....NATAKA KULEWA.

Pia inawezekana amesikia Diamona kuwa nominated kwa awards kadhaa za kimataifa...so anataka kumtoa kwenye mstari.
 
Hapana msupaa......huyu njamaa wa Kawangare amezindi...njamaa ako na ndomo kama pindo ya sisal mbag.....

jf kuna kila aina ya viroja yan hapa navumilia kucheka nipo kwenye daladala machoz v yanatiririka
 
Mmh maaana wale hata hawaelewek , nasikia ndomo kaenda kufanya video uko , kama anapakua atakuwa anafaid maana ommy ana mi hipsi hatar na ngoz nyororo sijui anatumia kipodoz gan

Hahahahahahaaa jman mbav zangu mm lol!
 
Back
Top Bottom